Jamaa ana ukwasi siyo wa kawaida. Anashindana kumiliki mabasi na akina Shabiby na Aboud. Mabasi yake yanaitwa Esther.
Anamiliki/ anewahi kumiliki timu za Singida Big Stars, Ihefu, DTB na mara nyingine husaidia kulipa mishahara wachezaji wa Tanga.
Kwa vile amekanusha mara kwa mara kuhusu...