utajiri wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nashindwa kuwaelewa watanzania. Hivi kweli mnategemea nchi yetu tuwe na Rais maskini wakati sekta binafsi tu yenyewe ina pesa kibao

    Seriously watu roho inawauma Kwa mfano Rais awe na billion zake 20 mnataka asiwe nazo asiwekeze? Mimi naona Rais ni mtu mkubwa anaweza akapewa hata zawadi na kiwanja cha cement wakampa macement kibao akaenda kujenga anachokiwaza. Mlitaka Hayati Magufuli asimiliki manyumba ambayo watu kibao wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…