utajiri

  1. Je, ni kwanini Utajiri wa Mtanzania (Muafrica) hauna muendelezo?

    Kwa sasa Utajiri wa nchi na wafanyabiashara wakubwa na wanaotambulika RASMI upo chini ya wasomali, wahindi na waarabu! Rarely au hakuna kabisa kumkuta Mtanzania amepenya hapa. Kama Mtanzania akifanikiwa kuwekeza na akafika angle fulani ya kuwa na UTAJIRI RASMI kisha ikitokea amefariki, basi...
  2. G

    Kuchukiwa kwa Wayahudi ni kwasababu ya kupendelewa na Mungu kwenye akili, Haiwezekani kundi dogo lipate maendeleo makubwa kiasi hiki bila chuki

    Maendeleo makubwa kwa kundi dogo huwaacha wengine na wivu na hasira Quran na Biblia zimeweka wazi upendeleo wa Mungu kwa kuwabarikia wayahudi akili zaidi japo kwa upendeleo huu walikuwa na jukumu zito kuzidi wengine kwenye kutii amri za aliewabarikia hizo akili, adhabu zilikuwa kali mno...
  3. Hayupo tajiri aliyetajirika kwa halali, hayupo

    Wengi wao ni madhulumati makubwa na wanyonyaji kwa kiwango kisichomithilika na kuelezeka! Bila kuwa 'mafia' utajiri usahau abadani. NB: Asante boss Med ila umenifunza nisiwe bwege tena kwa mwingine. Takbir!
  4. K

    Njia panda Ajira na utajiri wa kijini

    Mtaalamu anatoa mkataba na jini wa kuwa tajiri Pia anaweza kukupa mkataba na jini akakutafutia Ajira serikalini Kipi bora wakuu hapo
  5. Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

    Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi. Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini...
  6. Utajiri wa Mfanyabiashara Elon Musk wazidi kuongezeka

    Mfanyabiashara maarufu wa Marekani, Elon Musk amekuwa Mtu wa kwanza katika historia duniani kufikisha thamani ya juu ya utajiri wa dola bilioni 400 za Kimarekani ( zaidi ya Trilioni 970 za Kitanzania) baada ya kuongezeka kwa utajiri wake kutokana na ushindi wa Rais mteule Donald Trump katika...
  7. CNN Video: Bashar Al Asad aliyekuwa Rais wa Syria ni kielelezo cha watawala walivyo na tamaa na mafisadi. Angalia utajiri wa magari aliyojilimbikizia

    Hapa duniani jamani tunapita tu.... Mtu aliye kiongozi katika nafasi ya u - Rais au nyingine yoyote serikalini unawezaje kuwa na mali zote hizi wakati muda wako mwingi, akili na mawazo ni kuwatumikia wananchi..? Umezipata wapi mali hizi kama si kuiba na kufisadi nchi huku watu unaowaongoza 85%...
  8. L

    Utajiri Wa Elon Musk unaweza Kufadhili Bajeti Ya Tanzania kwa Miaka zaidi ya kumi mfululizo Pasipo Mtu yeyote kulipa kodi wala ushuru wa aina yoyote

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Dunia Jamani kuna watu wana Hela,kuna watu wana pesa,kuna watu wana Fedha. Watu wana hela mpaka unajiuliza wao wanazipata wapi wakati kuna watanzania wanafanya kazi usiku na mchana kuanzia migodini ,mashambani , mabarabarani,viwandani lakini hawapati pesa hizo...
  9. Ukipata Dola 2,000,000 utafanyia nini?

    Inasemekana! Kwa Sasa unaweza ukausaka utajiri na usiufanyie jambo lolote la maana kwenye Jamii!? Matharani ukipata $2,000,000 utafanyia nini!? Naomba kuwasilisha
  10. Taasisi Thabiti vs. Rasilimali Asili: Siri ya Utajiri wa Mataifa

    Tuzo ya Fagus Rick’s Bank ya Sayansi ya Uchumi kwa heshima ya Alfred Nobel, ambayo mara nyingi huchukuliwa kuwa Tuzo ya Nobel ya Uchumi, hutolewa kila mwaka kwa wachumi waliotoa mchango mkubwa katika sayansi ya kijamii. Tuzo hii ni ya pekee kwani haikuwa miongoni mwa tuzo asili zilizoanzishwa na...
  11. B

    Kuna uhusiano gani? kati ya kuzaa watoto wachache na utajiri versus kuzaa watoto wengi na umasikini

    Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's πŸ‘‰Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
  12. Maajabu ya tairi mbovu na utajiri uliojificha ndani yake

    Zingatia hapa tairi mbovu yaani ilishatumika, ikachakaa ama ikaharibika hivyo haifai kutumika tena kwenye magari Hii ni fursa ambayo itawafaa sana vijana wetu wa JF wanaosaka ajira Tairi moja mbovu ya gari kubwa ya mizigo unaweza kuinunua kwa kati ya shilingi 2000 mpaka 5000 kulingana na ubora...
  13. Video: Endeleeni kuutamani utajiri. Litawakuta jambo

    Ila kuliko kufa maskini, ni heri tu kuishi na kiumbe huyu ndani kwa kweli Umaskini ni mbaya sana, bora kufa kiume
  14. B

    P. Diddy amezidiwa utajiri na Jay Z

    P Diddy Amezidiwa Utajiri Na Jay Z Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Wawe Matajiri Lazima Waende Kwake, Lakini Pia P Diddy Amezidiwa Tuzo Za Grammy Na Jay Z 24 Kwa 3 Lakini Tunaambiwa Ili Wasanii Washinde Grammy Lazima Waende Kwa P Diddy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Au Ndio Mganga Hajigangi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  15. Google yapigwa faini ya Tsh. 56,076,872,348,484,000,000,000,000,000,000,000,000,000 na Urusi, ni kiasi cha fedha ambacho hakipo duniani

    Kampuni ya Google imepigwa faini ya rubles bilioni 2 (takriban $2.5 decillion) nchini Urusi kwa kukataa kufungua akaunti za pro-Kremlin na vyombo vya habari vya serikali, kama ilivyoripotiwa na RBC. Adhabu hizo zilianza kwa kutozwa faini ya kila siku ya rubles 100,000 mwaka wa 2020, ikiongezeka...
  16. Sio utamaduni mzuri kushabikia utajiri na matajiri bila kujali wameupata vipi

    Utandawazi tunauvulia nguo na kuuoga kisawasawa bila kuzingatia misingi. Leo hii wananchi wengi wanapendezwa,kuhamasishwa,kutamani utajiri pamoja na matajiri hasa kwenye mali za kujionesha na kuona kila mtu anastahili kufika hapo Andiko langu limetokana na kuona video ya tajiri flani hivi mtu...
  17. Je Wajua? kampuni za Adani Group zimewahi kuripotiwa kufanya Ulaghai na kushushwa thamani ya Utajiri wake kwa Dola Trilioni 27.9

    Januari 2023 Mfanyabiashara Gautam Adani ambaye ni mmiliki wa Kampuni za ADAN GROUP alijikuta akiondolewa katika orodha ya Matajiri wakubwa duniani baada ya thamani ya utajiri wake kushuka kwa zaidi ya Tsh. Trilioni 60 kutokana na kudaiwa kufanya Udanganyifu kwenye masuala ya Hisa na Masuala ya...
  18. Swift Ampiku Rihanna na Kuwa Mwanamuziki wa Kike Mwenye Utajiri Mkubwa Zaidi

    Taylor Swift sasa ndiye mwanamuziki wa kike tajiri zaidi duniani, akiwa na utajiri wa dola bilioni 1.6, akimshinda Rihanna. Mafanikio haya makubwa yanatokana hasa na ziara yake ya "Eras Tour" na umaarufu wa nyimbo zake. Swift ameendelea kuwa mmoja wa wasanii wenye ushawishi mkubwa katika tasnia...
  19. Msingi wa Utajiri kwa Karne ya 21 ni Huu

    Habari za wakti huu, Ni matumaini yangu kwamba nyote mnaendelea Vizuri na Shughuli za Ujenzi wa Taifa. Hata mimi niko Salama. Ni muda mrefu sana tangu niweke andiko rasmi hapa Jukwaani, hata hivyo nimekuwa nikiendelee kushirikiana na wadau katika kutafuta suluhu na fursa za kukabiliana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…