Siku moja kuna rafiki yangu wakaribu alifiwa na baba ake mdogo kama ujuavyo watanzania tuliowengi tunatabia yakushirikiana katika shida na raha basi siku ya maziko nilikaa pamoja na vijana wenzangu, tulikuwa tukipeana habari mbalimbali kama ujuavyo watu wa rika zinzofanana wanapokaa pamoja...