Hizi "Parking Fee" zimekuwa na Upigaji ambao haueleweki.
Nimejaribu tu kuingia katika TeRMIS (termis.tamisemi) nikaweka namba yangu ya gari ambayo nimeagiza na imesajiliwa Tarehe 6 mwezi wa 2, 2025 lakini nilishtushwa kuona nadaiwa Pesa ya Parking Mwaka 2024 Mwezi wa 12 na Januari 2025, ambapo...
Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie.
Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
Thread yangu ni kama kichokoza mada.
Katika miaka ya zamani wezi, mafisadi, wauza unga wengi walitakatisha fedha kupitia ndoa, mhusika anaoa ama kuolewa na public figure yeyote then kutakuwa hamna maswali yeyote kuhusiana na matumizi yake kifedha kutoka kwa jamii.
Kwa miaka ya karibuni...
Habari wadau!
Naenda kwenye hoja moja kwa moja kwenye hoja.
Ki ukweli utakatishaji fedha ni biashara ambayo ipo kwa siri sana.
Usione mtu anajipost na rundo la hela na hana kazi yeyote akasema yeye ni free mason ukaamini we ni mjinga hata serikali ina ujinga flani.
Kuna watu wana hela Dunian...
Kuna kipindi ule upepo wa kesi za uhujumu uchumi Na utakatishaji fedha ulizidi kiwango chake , hasa kile kipindi cha mwendazake...sidhani kama ule upepo ungemuacha huyu jamaa yangu mwenye tabia za m
Kihaya😀..
Kumekuwepo Kwa taasisi nyingi za kidini zinazo Jenga majengo ya kuubadu na kufanya shughuli zao Bila serikali kujua upatikanaji wake na matumizi ya pesa za hayo mashirika ya kidini.
Kuna baadhi ya viongozi wa hizo taasisi wanaoneka wakiwatupia wananchi pesa, (kutoa / kumpa MTU pesa Sio kitu...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Lindi, imewahukumu kwenda jela miaka 30 kwa kosa la ubakaji na miaka 20 kwa kosa la utakatishaji fedha pamoja na kulipa fedha Sh milioni 35 walizoiba na pia Mahakama imeamuru kutaifishwa kwa mali zao.
Waliohukumiwa ni Kazil Hamis @Kaftanyi (43) Mkazi wa Dar es salaam na...
Nimekutana na hii discussion hapa ikidai kwamba Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la makanisa na wachungaji. Hali hii imeibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa matumizi mabaya ya makanisa kwa ajili ya utakatishaji fedha.
Hapa wadau walikua wanasema hizi ni baadhi ya njia...
Mwanzilishi wa Binance na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Changpeng Zhao alihukumiwa kifungo cha miezi minne jela Jumanne hii, Aprili 30, 2024 baada ya kukiri kosa mwaka jana la kukiuka sheria za serikali za utakatishaji fedha pamoja na kampuni yake ambayo pia ilikiri kukiuka...
Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana na utapeli.
Mshtakiwa mwenzake, Nafise Quaye, (47) raia wa Nigeria ambaye pia anaishi Worcester...
Hatua hiyo imefanywa na Kitengo Maalum cha Kimataifa cha Udhibiti wa Fedha Haramu (FATF) kwa kuziweka Nchi 4 za Afrika Mashariki (Tanzania, Uganda, Sudan Kusini na DR-Congo) ambazo zimeahidi kuongeza hatua kali katika kupambana na Utakatishaji Fedha na Ufadhili wa Ugaidi na Kuenea kwa Silaha...
Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani.
Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za...
UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Eric Ayo na wenzake wanaodaiwa kukutwa na vinyonga 164, umebadili hati ya mashtaka na kumuongezea Eric shtaka la utakatishaji fedha.
Hati hiyo mpya ya mashtaka ilisomwa na Wakili wa Serikali, Cathbert Mbilinyi, mbele ya Hakimu Mkazi...
Wizara ya Sheria imethibitisha kukamatwa kwa Dieudonne Murengerantwari ikiwa ni siku chache tangu afukuzwe kazi Oktoba 8, 2023 akidaiwa Kudhoofisha Uchumi wa Taifa hilo, Kujihusisha na Rushwa, Utakatishaji Fedha na Ubadhirifu wa Mali za Umma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jenerali Leonard...
Waandishi wa habari undercover wanajifanya kuwa majambazi wenye dola bilioni moja za pesa chafu zinazohitaji kusafishwa. Wanapata upenyo kwa wanachama wa Afrika wa Gold Mafia na kurekodi mikutano ya siri na viongozi wa uhalifu.
Balozi Mkubwa wa Afrika anatoa huduma ya kutakatisha pesa chafu...
Watu 11 wakiwemo wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kusafirisha nyara za serikali na kutakatisha kiasi cha shilingi bilioni 3.2.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu Jausia Msophe kwenda jela miaka 20 au kulipa faini ya Sh500 milioni baada ya kutiwa hatiani kwa mashtaka mawili likiwemo la utakatishaji wa fedha kiasi cha Sh158 milioni.
Pia mahakama hiyo imemuamuru kiasi cha fedha cha Sh158 milioni zilizokuwepo...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), kwa kushirikiana na Taasisi ya Haki za Binadamu Afrika Mashariki (EAHRI) na Shirika Lisilo la Kiserikali Defenders Protection InternationaI (DPI) lenye Makao yake Nchini Uganda wameendesha Mafunzo ya Siku 2 yanakayofanyika Dar es salaam...
Raia wa Nigeria, Ramon Abbas, maarufu kwa jina la Hashpuppi amehukumiwa kifungo cha miaka 11 jela huko Marekani
Hashpuppi alikuwa anatuhumiwa kufanya utapeli unaofikia jumla ya dola millioni 24 za Marekani kwa njia ya mtandao
Hashpuppi anatajwa kuwa mmoja wa matapeli wakubwa zaidi wa mtandaoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.