Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula ametoa rai kwa Uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuendelea kushirikiana na Wizara katika kuhamasisha wadau na wawekezaji waliopo katika Mkoa wa Rukwa na nje ya Mkoa huo kuwekeza huduma mbalimbali za kijamii katika Maporomoko ya Kalambo yaliyopo...
Katika kuadhimisha Miaka 60 tokea kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Hifadhi hiyo imetajwa kuchangia mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini huku yakitajwa kuchangiwa na jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanyika ikiwemo Filamu "Tanzania: The Royal Tour” pamoja na filamu ya...
Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini.
Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro.
Soma Pia: Rais Samia...
Wakuu, wazee wa nature.
Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.
Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.
Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.
Pamoja na kwamba ni weekdays ila...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuimarisha ulinzi wa Mkoa huo ambao ndio kitovu cha utalii hapa nchini huku likibanisha kuwa leo limeendelea na utoaji elimu kwa madereva wanao pokea na kutoa huduma ya usafiri kwa wageni wanafika Mkoani humo kwa ajili kutalii.
Akiongea mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.