utalii arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wawekezaji katika Sekta ya Utalii wakaribishwa kuwekeza katika hifadhi ya mazingira asili Kalambo

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula ametoa rai kwa Uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuendelea kushirikiana na Wizara katika kuhamasisha wadau na wawekezaji waliopo katika Mkoa wa Rukwa na nje ya Mkoa huo kuwekeza huduma mbalimbali za kijamii katika Maporomoko ya Kalambo yaliyopo...
  2. I

    Waziri Pindi Chana: Kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Watalii wa Kimataifa waliongezeka kwa asilimia 96

    Katika kuadhimisha Miaka 60 tokea kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Hifadhi hiyo imetajwa kuchangia mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini huku yakitajwa kuchangiwa na jitihada mbalimbali ambazo zimekuwa zikifanyika ikiwemo Filamu "Tanzania: The Royal Tour” pamoja na filamu ya...
  3. Godbless Lema: Ningekuwa Rais nchi hii ningeondoa Hotel zote porini

    Mwenyekiti Kanda ya Kaskazini na Mjumbe wa Kamati kuu - CHADEMA Godbless Lema amesema kama yeye angekuwa Rais wa Tanzania basi angeondoa hotel zote zilizojengwa porini. Kama serikali ingefikiria kama Lema kusingekuwa na mgogoro baina ya serikali na wamasai Ngorongoro. Soma Pia: Rais Samia...
  4. Today I visited Ngorongoro Crater: Ni pazuri kinoma

    Wakuu, wazee wa nature. Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater. Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa. Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai. Pamoja na kwamba ni weekdays ila...
  5. Wanaobeba watalii waaswa kuwa chachu ya taswira nzuri ya Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuimarisha ulinzi wa Mkoa huo ambao ndio kitovu cha utalii hapa nchini huku likibanisha kuwa leo limeendelea na utoaji elimu kwa madereva wanao pokea na kutoa huduma ya usafiri kwa wageni wanafika Mkoani humo kwa ajili kutalii. Akiongea mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…