Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameipongeza Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) kwa jitihada za kutangaza vivutio vya utalii nchini huku akisisitiza kuwa hayo ndio maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula ametoa rai kwa Uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuendelea kushirikiana na Wizara katika kuhamasisha wadau na wawekezaji waliopo katika Mkoa wa Rukwa na nje ya Mkoa huo kuwekeza huduma mbalimbali za kijamii katika Maporomoko ya Kalambo yaliyopo...
DAR ES SALAAM, Nov. 4 (Xinhua) -- Idadi ya watalii kutoka China wanaotembelea vivutio vya utalii vya Tanzania imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu kumalizika kwa janga la COVID-19, afisa mmoja wa utalii wa Tanzania amesema.
Hassan Abbasi, katibu mkuu katika Wizara ya Maliasili na Utalii...
Mimi sio mtazamaji wa TV wa mara kwa mara.
Imetokea Leo nipo mapumziko kidogo.
Katika kutafuta burudani nikajikuta naangalia Safari Channel, (nafikiri ni Kituo Cha Taifa).
Cha ajabu katika matangazo yao ya vivutio vya utalii Nchi, kulikuwa na maelezo (nafikiri kuhusu vipindi hivyo) yalikuwa...
Friday, September 20, 2024

In the first seven months of 2024, the international tourism landscape witnessed an impressive surge in visitor arrivals in several countries, showcasing not only a recovery but, in some cases, a significant out performance compared to pre-pandemic levels. Among...
MIAKA 60 YA HIFADHI YA TAIFA MIKUMI YAZAA MAPINDUZI MAKUBWA SEKTA YA UTALII
Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Hifadhi ya Taifa Mikumi imeleta mafanikio makubwa katika Sekta ya Utalii nchini yakichangiwa na jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
Hapa ni uringanisho wa Kisiwa cha Mafia na Maldives.
Ukumbwa
Mafia -435 KM2
maldive -300 KM2
UCHUMI
MALDIVES -6 Billion za kimarekan
MAFIA -0 (no data/Hawajafanya tathmin)
SHUGHULI ZA UCHUMI
MAFIA-Utalii
Maldives -Utalii
Tanzania inashindwaje kukifanya kisiwa cha mafia kama maldive wakat...
Wakuu, wazee wa nature.
Nimekuja Arusha, katika tour ya siku tatu, nimeanza na Ngorongoro crater.
Hii reserve nzuri kinoma, nilibahatika kuwaona wanyama mbalimbali, nature na mandhari nzuri ya ziwa.
Nasubiri kuona Lake Eyasi, shifting sand na Olduvai.
Pamoja na kwamba ni weekdays ila...
Nadhani hivi karibuni kila Mtanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla, wameshangazwa na kufadhaishwa na kauli ya Raisi Samia kutoa agizo kwamba madini yaliyoko Serengeti yachimbwe, kwa sababu simba na tembo hawali madini.
Tangazo la raisi Samia
Sasa labda watu wengi wasichoelewa ni kwamba, kwa...
Mtende is a beautiful area located in Zanzibar, known for its stunning white sandy beaches, crystal-clear blue waters, and serene natural surroundings. Visitors to Mtende can immerse themselves in the peaceful and tranquil atmosphere while enjoying a range of activities such as snorkeling...
Ripoti mpya ya Baraza la Utalii Duniani (Travel & Tourism Council,WTTC) iitwayo “ Travel and Tourism: Economic Impact Research 2024,” iliyotolewa Juni 26, 2024 jijini London, UK, inaonesha Tanzania kuwa moja ya Mataifa ambayo yameendelea kunufaika kiuchumi na mageuzi makubwa yanayoendelea nchini...
Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya ziara zake kurekodi The Royal Tour, 2021
Tumesikia na kuona Rais Samia akiwa katika kile kilichojulikana kama The Royal Tour, lakini huenda kuna baadhi yetu hatujaelewa ni kitu gani hiki.
Wapo wanaodhani Rais kajitungia jina na kutafuta wapiga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.