Naamini nimewahi kuleta walau uzi mmoja kuhusiana na mada ya Utalii wa Michezo, ila leo nitakuja na angle tofauti kidogo kutokana na kile ambacho nimekishuhudia siku za hivi karibuni.
Bila kueleza mengi na kuzungukazunguka, kiufupi Utalii wa Michezo au Sports Tourism unahusiana na kuandaa...