Sijui kama kuna mtu hapa amewahi kuombea Mgeni (mtalii) kibali cha kupiga picha akaona ugumu uliopo?
Kiujumla taratibu zilizopo sio rafiki (hazipo wazi) yaani kuna wizara sijui ngapi zinahusika hivyo kupata kibali bila maarifa ni ndoto ya mchana kwani unaweza kutumia miezi nk hivyo mgeni hawezi...