KWEMA. Leo nilikuwa naperuzi mtandao wa Instagram kiukweli mwanzoni nilikuwa nafurahia kuona video za ndugu zetu wadazbe kiukweli UTAMADUNU wao unafurahisha pamoja jinsi wanavyoishi Kwa upendo nk
Sasa umepotea karbu mwaka nikaanza kuona mbaka wazungu wanaenda kutengeneza content...