Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeridhia ombi la kuongeza muda wa ukomo wa uwekaji wa hereni za utambuzi kwa mifugo kwa hiari kuwa tarehe 31/12/2022 na baada ya hapo hatua za kisheria zitaanza kuchukuliwa dhidi ya waliokaidi.
Tangu mwezi Oktoba, 2021, Wizara ilianza kufanya utambuzi...