Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa zoezi la Utambuzi wa wanyama sasa litafanyika bila gharama yoyote kutoka kwa wafugaji baada ya Serikali kuamua kugharamia zoezi hilo.
Mhe. Dkt. Kijaji amesema hayo wakati wa mkutano baina yake na wafugaji uliofanyika Februari 19...