Hatimae tumefikiwa.
J250 Prado na J300 Cruisers zimekuja kazini na hakuna Auto, kuuliza wanasema hakuna model yenye manual transmission.
J300 zimekuja za diesel zenye gear 10 zile za cc 3300 twin turbo V6.
Prado zimekuja za 2.8L gear 8 diesel.
Sasa mkono na mguu wa kushoto wacha vipumzike.
Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa.
Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. 😂😂😂
Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
Hii ni fimbo ya ajabu,kwanza ndefu si ndefu,nene si nene,inachapa kwa mbele na kwa nyuma,na inatema balaa,ukiruhusu ikutemee ni lazima utavimba,na inapochapa ni lazima utalia kwa raha,na inachapa kwa mbele na inachapa kwa nyuma na ukivimba ni lazima upate kichefuchefu,we fimboyaukwaju ni tamu...
Je mwanaume asema nini kuhusu utamu wa mwanamke,kwamba mwanamke mtamu ana sifa gani,na je mwanamke anasemaje kuhusu utamu wa mwanaume,kwamba mwanaume mtamu ana sifa hizi,naomba majibu
Dada: money penny nisaidie
Money penny: ndio boss
Dada: nimekutana na kaka mmoja, juzi ijumaa, tukaanza kuchat akasema anatafuta mke wa kuoa
Money penny: ndio boss
Dada: tumeongea kwa simu for hours siku ya kwanza, jioni yake akampa simu mwanae anisalimie tukaongea na mwanae muda wa dk 15...
Shalom,
Imeandaliwa na Chief Wadiz.a.k.a Chief Mapenzi.
Leo nimewakumbuka Maex zangu mademu kama wanne hivi Aisha, Mariam, Win, Esther na Esther na Elizabeth.
Jamani acheni maisha yaitwe maisha yaani hao mademu ilikuwa ni shoo shoo enzi hizo nawakatia mademu viuno kama vya Nyoshi wa FM...
Jf salaam
Huwa nashangaa sana mtu kuanza kuinadi hii miti ya kisasa akiiponda ya kienyeji (asili).
Ukweli ni kwamba miti ya matunda ya asili inazaa sana iwapo itatunzwa kidogo tu!
Na daima ni mitamu sana na mivumilivu mno katika Hali zote!
Hii yenu hii iliyoibuka hata nusu haiwezi fikia...
Chukua hiyo mtu wangu,
Usikione kidada cheusi tii kinapita ukakidharau. Hicho ndo kimebeba asali mbichi huko chini. Ile yenyewe kabisa ya nyuki wa kienyeji.
Hakika mapenzi ya Tabora hawa wanawake wa kinyamwezi ni kiboko.
Kuishi ama kufika ama kupita Tabora ni raha sana, mapenzi tele na raha zake na utamu wa mapenzi ya Tabora hakuna mkoa pinzani.
Wanawake wa kinyamwezi na hata walofundwa unyamwezini ni watamu sana wanajua mpaka basi hadi wana utamu...
Kuna hii video sheikh anaeleza kuhusu wanawake walioandaliwa kwa ajili ya wanaume waislamu kule peponi, yaani mabikira.
Hapa najiuliza, kwa nijuavyo uzuri wa kumla mwanamke bikira ni kwa sababu unajua kakuheshimisha na kwamba wewe ndiye wa kwanza kumuingia, ila shughuli yenyewe huwa usumbufu na...
Hii kero nimekua natafuta njia ya kuifikisha kwa pisi husika lakini nashindwa naifikishaje.
Unakuta pisi kali na safi lkn papuchi haina ile natural smell hata kidogo, msinielewe vibaya simaanishi 'kitilapia' hapa, namaanisha kale kaarufu fln ambako nadhan ndo wale bacteria wanakatengeneza...
Siku zote pesa inatakiwa ikupe mahitaji ya msingi, ndio maana tunatumia nguvu nyingi katika kuzitafuta.
Tunaamini na imethibitika, hatuwezi kuishi miaka 150; mara nyingi tumezidi sana tena kwa wale wachache sana wanaweza kubahatisha miaka 100.
Sasa, maisha ni nini, Je ni kuishi kwa furaha...
Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada.
Mapenzi yana nguvu sana pale unapopenda kisawasawa unaweza tembea umbali mrefu kufuata penzi bila kujali umbali, gharama zozote ili mradi ufanikishe jambo
Binafsi nina visa viwili.
1. Niliwahi kusafiri toka Moshi kwenda Tanga kufata penzi...
Ni pale unapovuta hewa safi yenye rutuba ambayo inapita kwenye mapafu yenye afya njema, huku moyo wako ukidundadunda kwa shangwe na mwili wako ukiwa tulivu bila kashkash!.. no stress, no harmful idea in you also no devil emotions!.
Utulivu fulani hivi Hadi unausikia uti wa mgongo ume relax...
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimeipigania sana Simba huku mitandaoni ila ikafika wakati nikaamua kupumzika maana kuna mambo yanakatisha tamaa sana ndani ya Simba yangu.
Simba ina wachezaji bora sana shida ni jinsi wanavyotumika. Kuna mentality inabidi ibadilishwe pale kuanzia kwa viongozi...
Kuna siku humu kuanzia asubuhi mpaka jioni ni nyuzi za kutendwa tu. Wengine usiku...wanakuja na kataa ndoa. Ni mwendo wa kupigana matukio tu.
Lakini tupo sisi tunaokula utamu wa mapenzi. Tunakula utamu kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Hapa napoandika nimetoka kupigiwa video call, nimeambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.