Wadau naomba msaada juu ya hili, maana kuna madada wengine wakiwa kwenye game huwa ni kero. Yaani unakuta mnaishi nyumba ya watu wengi alafu kila mtu na habari zake, huyu katoka shamba, gulioni, kwenye biashara nk. halafu unakuta usiku muda wa kulala ukifika usumbufu unaanza miguno na milio ya...