Kwa wale wanaume tunaopenda kuwa smart, nashauri tutumie hizi package zitakuweka smart sana bila kujali unafanya kazi gani na eneo gani.
Dove Gel Body Wash
Hakikisha ni Secret, ujue pia kutofautisha fake na OG. Chupa ndogo inauzwa Sh.12,000 mpaka 15,000. Kubwa inauzwa Sh.20,000.
Jergens Utra...
Marashi ya kujipulizia sio muhimu sana, na yanazidisha kero na usumbufu yakichanganyika na uchafu mkiwa katika faragha. Kujisafisha vizuri zaidi kwenye mikunjo ni muhimu zaidi na inapendeza zaidi.
Mpenzi akichojoa mavazi yake, marashi husalia kwenye nguo zake, akiwa yeye sasa kama alivyozaliwa...
Nimeamini kuwa mtanashati ni mzigo mkubwa, hasa ukiwa hauna strong financial stability, expectations zinakuwa kubwa kwa watu wanao kuona, wanalinganisha muonekano wako na kipato chako.
Ukiwa umebarikiwa muonekano nadhifu, wengi watadhani hata mfuko wako upo vizuri, huenda unabangaiza na kupata...
Watanashati mpo?
Angalia hapa njia mbalimbali za kukufunza jinsi ya kukunja nguo. Hii ni nzuri sana hasa ukiwa na nafasi ndogo ya kuweka nguo na hata muda wa kusafiri, inafanya ndio zako zinakuwa katika mpangilio mzuri na hazijikunji ovyo.
Jinsi ya kukunja shati
Jinsi ya kukunja tisheti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.