Siku ya Kimataifa ya Wenzi wa Ndoa:kuheshimu mume na mke kama msingi wa familia
Siku ya kimataifa ya Wenzi wa Ndoa ni sheherehe ambayo inahimiza kuheshimu mume na mke kama jiwe kuu la pembeni la familia,umoja msingi wa jamii ya kila tamaduni,kabila,koo na taifa.Adhimisho hili linahamasisha uzuri...
Nimekutana na video moja kwenye mtandao wa Facebook, inaonesha watoto bila shaka ni watoto wa chekechea kwa hakika sidhani kama hii imekaa sawa.
Ni jambo zuri watoto kupata muda wa kufurahi na kujifunza ila sio kucheza mitindo hii tena mbali zaidi kufanya challenge za mitandao ya Facebook na...
Habari za leo Wana forum.
Kwanza kabisa naomba nichukue nafasi hii kumchukru na Kumpongeza Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa anazozifanya za kuimarisha maendeleo na diplomasia yetu na mataifa mengine.
Naomba ndugu waTZ tujue kwamba kukua kwa diplomasia ni Ajira, heshima pia ni...
Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa msisitizo kwa jamii za kitanzania kutumia utandawazi kuongeza maarifa katika kuleta maendeleo badala ya kuacha utandawazi uharibu utamaduni wa Taifa.
Mhe. Ndumbaro ametoa msisitizo huo wakati akifungua Mdahalo wa Kitaifa wa...
Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa fedha.
Miaka yote huyo Babaako mzazi hakuwepo. Hakujua unakula nini wala unavaa níni. Wala...
Kila siku ukisikia wajumbe wa bodi wameteuliwa utasikia huyu kustaafu kule na yule kustaafu huku.
Wanaosimamia mipango ya nchi wanapoteuliwa wote unabaini walishastaafu.
Lakini unapokwenda kwenye mashirika binafsi yanayoganya vizuri katika private sector Duniani utabaini wenye mamlaka kamili...
Binafsi
Naona historia ya afrika imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha maafa hapa barani,hatupo active kwa changamoto za kihistoria kuna pandikizi kubwa la maisha ya ukoloni ambao ulijenga misingi ya kutudumaza kupitia elimu,dini na biashara,ni nani hajui kuwa utumwa wa leo ni matokeo ya jana...
UTANGULIZI
Wizara ya elimu imezindua mtaala mpya wa elimu karibuni wenye maboresho mbalimbali ambayo binafsi naona bado hayakidhi matakwa ya kasi ya sasa ya ulimwengu kisayansi na kiteknolojia. Bado tumelenga kuzalisha kundi kubwa la wasomi wasio na uwezo wa kuendana na maendeleo ya sayansi na...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Hivi sasa kumeibuka wimbi la Vijana na wanaume kuvaa Chupi ambazo wao wanaziita "VINJUNGA"
Hivi Vinjunga inapaswa uelewe mara zote zinakuwa hazizidiani sana na Boxer,yaani wewe fikiria mtu anavaa Kinjunga na anatembea bila wasiwasi mjini kote huko!
Ni...
Kama ilivyo kwa kila nchi kuwa na sheria na kanuni zake ambazo ni ngumu kukuta kwa nchi nyingine basi hata jamii ina tamaduni zake ambazo zilikuwepo tangu hapo zamani enzi za mababu na mabibi zetu na hazikuwekwa tu bila sababu bali zilitokana ili kuilinda jamii na watu waliomo ndani take dhidi...
Maisha ya siku hizi yamegubikwa na vitu vingi sana ambavyo kiuhalisia vinaficha uhalisia wa maisha yetu waafrika, Ninaweza kusema kuwa haya ndiyo maendeleo lakini isifike mahali tukasahau kabisa tulikotoka na kuuvaa umagharibi moja kwa moja katika chapisho hili ninakwenda kuikumbusha jamii...
Utandawazi umekuwa na athari kubwa katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii duniani kote. Hata hivyo, pamoja na faida zake, utandawazi pia umesababisha changamoto kadhaa katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Kwa hiyo, ni muhimu kuchukua hatua za haraka za kuboresha utawala bora na...
Good morning Tanganyika!
Nimeshindwa kuvumilia baada ya kuona ongezeko la mada za kupinga kuoa, ndoa na maisha ya ndoa! Jamii Forums ni kama kioo cha Taifa kwasasa. Think tank kubwa ya nchi nathubutu kusema iko humu JF, sasa kitu kinapotrend sana Jamii forums ni lazima upate picha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.