Utani ni nini?
Utani ni maneno ya mzaha ila yenye ukweli fulani ndani yake.
Makazini na vibaruani kwetu au sehemu za starehe tumekuwa tukitaniana, tunacheka tunagonga tano na maisha yanaendelea.
Lakini wengi tunaambiwa maneno ya kweli kupitia utani.
Si kila kabila hutaniwa, wengine huchukia...