Yanga wana timu nzuri sana na hata jana tumeona licha ya kuwa wamefungwa wakiwa pungufu lakini Azam waliomba poo, mimi ni mtu wa mpira siongelei mpira kiushabiki ama kutafuta followers, nimekaa kwenye tasnia ya soka la bongo tangu mwaka 1989 nikiwa naingia bure uwanja wa uhuru, enzi hizo Sigara...
Ndugu zetu Simba msimu huu wamekuja na kauli mbiu hizi, Yanga anabebwa, Yanga ananunua mechi, GSM anatuharibia ligi na kuna muda wakipagawa zaidi utawasikia wanasema Yanga imeshuka kiwango.
Maoni yangu, mafanikio ya Yanga yanaanzia kwenye uongozi. Sitaki kumuingiza GSM japo nae anaplay part...
Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha...
Katibu Uenezi wa CCM mkoa wa DSM mstaafu Alhaj Hajji Manara amesema Utani wa Simba na Yanga umesaidia kuleta Utulivu nchini na Serikali inauunga mkono 100%
Manara amesema unaweza kukuta Maji hakuna, Umeme hakuna, Sukari hakuna lakini Wananchi kwenye mitandao ya Kijamii wako busy kuwajadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.