Nimemsikiliza Mbunge Mohamed Said Issa nadhani wa ACT kutoka Zanzibar akichangia hotuba ya wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuhusu ubaguzi wa kimuungano.
Awali nilivutiwa na hoja zake lakini baada ya kubaini kuwa hoja kutoka kwa wabunge wenzake kuwa yeye ni Mtanzania, alizikataa zote pamoja na...