utapeli alliance

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Junior Lecturer

    DOKEZO Tahadhari: Utapeli wa watu waliojificha nyuma ya biashara ya kimtandao ya ‘Alliance in Motion Global’

    Kuna shirika lina jiita Allience In motion global. Linakusanya vijana toka mikoa mbalimbali Tanzania, likiwaahaidi kuwapa ajira. Badala yake vijana huishia kutapeliwa kwa kujidai wana fundisha networking marketing. Wengi wamelia na kusaga meno baada ya kutoa tsh 900,000. Na Wengine 580,000...
Back
Top Bottom