Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutaarifu Umma kuwa haijafanya mazungumzo wala kutoa maelekezo yoyote ya kupewa leseni au kuruhusiwa kwa kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL), tofauti na taarifa mbalimbali zinazozambaa mitandaoni.
Soma Pia: Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa...
Sielewi somo na siielewi serikali. Naomba majibu. Hao TCRA na BoT walikuwa wapi muda wote?
Pia soma > LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji
Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada.
Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu
Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.