utapeli lbl

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Benki Kuu (BoT): Hatujatoa leseni wala kuruhusu shughuli za LBL

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inapenda kuutaarifu Umma kuwa haijafanya mazungumzo wala kutoa maelekezo yoyote ya kupewa leseni au kuruhusiwa kwa kampuni inayoitwa Leo Beneath London (LBL), tofauti na taarifa mbalimbali zinazozambaa mitandaoni. Soma Pia: Jeshi la Polisi Morogoro lawakamata maofisa...
  2. G

    Hivi ndiyo kusema hela zangu nilizoweka LBL ndiyo zimepotea ama TCRA na BoT watanirudishia?

    Sielewi somo na siielewi serikali. Naomba majibu. Hao TCRA na BoT walikuwa wapi muda wote? Pia soma > LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji
  3. Kampuni ya Mtandaoni ya LBL inayojihusisha na matangazo ya biashara siyo Utapeli?

    Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada. Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu Leo burnett London (LBL) wanakupa task mbalimbali ikiwemo hii ambayo unatakiwa kutazama movie na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…