utapeli mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nicole kufikishwa Mahakamani kwa Utapeli wa Mitandaoni

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia. Soma: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa...
  2. Ufaransa: Mwanamke atapeliwa zaidi ya Bilioni 2 na Brad Pitt feki aliyekuwa ana-date naye online

    Wakuu, Hivi inakuaje kuaje mpaka unadanganywa kiasi hiki na Artificial Intelligence? Ndo tumefikia huku? ====================== Mwanamke mmoja kutoka Ufaransa alidanganywa na kupoteza zaidi ya $800,000 (zaidi ya TSH bilioni 2) na tapeli aliyejifanya kuwa ni Brad Pitt kwa kutumia picha...
  3. DOKEZO Utapeli biashara mtandaoni: Shuhuda za watu waliowahi kupigwa na kujuta sana

    Mimi ni mmojawapo😂 Na nadhani nilipigwa kama mara tatu hivi kabla sijajifunza na kuelimika Miaka ile ya 2010 nikaagiza kupitia Ebay radio touch screen.. Wakati huo bongo ilikuwa ni kuanzia lako 5 kwenda juu.. Mimi nikaipata kwa elfu 50 tuu free delivery😂 Baada ya miezi miwili kupiga bila...
  4. I

    Utapeli unaendelea kushamiri mtandaoni ila hatuoni hatua kali zikichukuliwa kwa wahusika

    Kwakweli nachukia sana matangazo ya kitapeli yanayoendelea kwenye mitandao na haswa mtandao wa Facebook. Wapo wanaojifanya ni waganga wa jadi. Masheikh wa visomo na hutengeneza video za matangazo na kuzilipia Facebook kwa ajili ya KUTAPELI. Hali hii inapelekea watu kupatwa na msongo mbaya sana...
  5. Nimeitwa tapeli na mdai madeni wakopeshaji wa mitandaoni

    Nimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini. Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi. Kanijibu niache utapeli. Nilipozidi kumsisitiza ache kunitusi na sijui namba yangu kaipataje akazidi...
  6. Hawa wakopeshaji wa mitandaoni wamesajiliwa na serikali au ni matapeli wanaofanya kazi kwa kificho?

    Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%. Kama serikali imekubali kazi za kampuni hizi na kubariki kisa kodi basi Watanzania hatuna serikali. Au vibali vyao viko safi tu mbele...
  7. Hawa wanajiita UKG. Je, sio matapeli?

    Nilikuwa naomba kuuliza, kuna hawa wanajiita UKG walikuja kwenye inbox yangu kuna kitu wanahitaji kunishirikisha ni kitu kizuri, lakini ninachotaka kujithibitishia wasije wakawa matapeli. Msaada wenu wakuu.
  8. S

    Application za mikopo ya mtandaoni, ni mradi wa vigogo kukusanya hela za kampeni 2025 na ndio maana hii biashara inafanyika kama nchi haina serikali?

    Naomba kwa kuuliza maswali haya: Hivi Mtanzani wa kawaida unaweza kuendesha biashara ambayo haina vibali vya serikali huku ukitumia mitandao ya simu kufanya biashara na serikali ikashindwa kukubaini/kukukamata? Tuchukulie imeshindwa kukukukamata, je serikali itashindwa hata kutoa agizo kwa...
  9. Kuweni makini na wauza vifurushi wa mitandaoni

    Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa. Niliona mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko Instagram kuwa anauza bando kwa bei nafuu. Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma. Akanieleza huduma ni ya uhakika kabisa, nikaangalia kwenye comment zake sikuona comment yeyote mteja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…