Dar es Salaam/ Kilimanjaro.
Ni wimbi jipya la utapeli. Hutokea pale baadhi ya wanawake wanapolazimika kuwalipa fedha waliokuwa wapenzi wao, ili wasisambaze picha zao za utupu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii.
Wimbi hili linaelezwa kuwakumba wajane, wanafunzi vyuoni na wake za watu, ambao...