Utapeli mwingine na namna hii. Either anakuwa tapeli ahusiki na kampuni hio au ni winga wa kukusanyia bidhaa ila anajitambulisha kuwa ni wa kampuni husika.
Unakuta hadi bizness cards wameandaa either ikiwa na jina ya kampuni maarufu au kampuni feki alioitunga.
Then anakuambia tumepita...
Tanzania njoo na akili yako tu pesa utazikuta nchini huu ni msemo wa wageni.
Baada ya kampuni ya ponzi pyramid kuwapiga Watanzania wamekuja kivingine wanajiita DBA, imeanza tarehe 7/3/2025 kwa usajili feki wa AI ikiwa na number za simu za UK.
Nadhani kosa lao kuu LBL na FIC hadi kustukiwa na...
Habari wadau,
Katika ulimwengu wa kidijitali, utapeli mtandaoni umekuwa tishio kubwa kwa watu binafsi na taasisi. Kila siku, watu wanapoteza pesa na taarifa zao za siri kwa njia za ujanja zinazobuniwa na matapeli wa mtandao.
Katika mjadala huu, tuzungumze kuhusu:
✅ Aina mbalimbali za utapeli...
Wakuu,
Kumekuwa na wimbi la watu kuweka nyuzi kuuliza kama fursa fulani ni kweli au lah, au kama zawadi anayotumiwa ni kweli anapendwa au anataka kuingizwa mjini.
Tunasikia mara kadhaa watu wanalizwa lakini kenge hawakosi, na mara nyingi huwa inakuwa ni tamaa ya kupata hela ya haraka haraka...
Kisa Changu Kiko hivi, Kuna mzungu aliniomba urafiki Facebook baada ya kumkubalia akaniomba namba ya Whatsapp. Tukaanza kuwasiliana ndani ya siku mbili tatu akaahidi kunitumia mzigo ambao ni simu ya iPhone 16.
Yeye anaishi London uingereza na siku aliyotuma mzigo alisema kuwa amekosa ndege...
Kwanini watanzania wengi wanatapeliwa na Ponzi schemes kama LBL Tanzania?
Nini chanzo cha watu kutokupenda kufanya tafiti na kutafuta taarifa kabla ya kuinvest pesa.
Hakuna kampuni inayoitwa LBL Advertising Media LTD ambayo imesajiliwa Tanzania, ila kuna Kampuni yenye jina sawia imesajiliwa...
Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
angalizo
dhidi
hatua
hela
kampuni
kampuni ya lbl
kuhusu
kutapeliwa
lbl
mapema
matangazo
mbona
naomba
serikali
side hustle
utapelimtandaoni
wajinga
wengine
wote
Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu.
Inaumiza eeh!
Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania.
Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
Naomba nieleze kwa ufupi.
Kukua kwa teknolojia kunasaidia mambo mengi kukua ikiwemo biashara. Ila hivi karibu kumekuwa na utapeli dhahri mfano kwa hapa Tanzania. Kumekuwa na wafanya biashara kutoka upande wa Zanzibar hasa Pemba wakiuza vitu bei ya chini mbali na uhalisia mfano laptop.
Ambapo...
Wakuu salaam,
Airtel kama mitandao mengine ina huduma inayokuwezesha kuomba kutumiwa pesa na mteja mwingine (kwa TiGO sijaona huduma hii), lakini kwa Airtel iko tofauti kiasi.
Kwa Airtel unaweza kutuma maombi hayo kwa mtu mwingine anayetumia Airtel pamoja na wateja wa mitandao mengine, yaani...
Baada ya kugundua kila ninapojadiliana na mtu kwa simu a u meseji kuhusu masuala ya kutumiana pesa, ghafla natumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii”, napendekeza hili
TCRA watunge kanuni zifuatazo za kisheria
1.) Iwe ni sharti la kisheria kwa kila mteja anayetumiwa meseji za “hiyo...
Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu.
Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo pengine natakiwa kuituma kwa njia ya simu pindi nikikata tu simu meseji inaingia kuwa tuma kwa namba...
Katika karne tuliopo, teknolojia inatumika kwa kiwango kikubwa katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya biashara. Teknolojia imekuza sekta hii kwa kutoa huduma kwa haraka, ufanisi na kwa gharama nafuu.
Pamoja na faida lukuki za teknolojia katika nchi yetu, katika upande wa kibiashara, sekta hii...
Kwa mujibu wa Ripoti inayowasilisha takwimu za mawasiliano za robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA), Mikoa ya Rukwa yenye majaribio 6,861 na Morogoro yenye majaribio 6,126 ya ulaghai mtandaoni ndiyo inayoongoza, ikiwa na zaidi ya theluthi moja ya majaribio...
Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni.
Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli.
Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277.
Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
baada
hali
laini
laini za simu
line
matangazo
mjukuu wa babu
njia
simu
tcra
tuma kwa namba hii
uhalifu mtandaoni
usalama mtandaoniutapeliutapelimtandaoni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.