Alianza dada yangu wa kwaza kuzaliwa kunikopa pesa akakimbia nayo mitini nikanyamaza kimya akaja tena ndugu yangu mwingine kanikopa akakimbia miti.
Ndani ya uho mwezi nikapewa tenda ya kuvalisha watu wa mwenge katika halmashauri fulani nikaagiza vitenge kongo nikatapeliwa nikaingia kwenye...