utapeli wa bima ya afya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Huu utapeli wa BIMA YA AFYA chini ya mitandao ya simu serikali wameubariki?

    Ni utapeli mkongwe kidogo mpaka sasa bado unaendelea. Bima gani eti unalipwa mpaka pale utakapolazwa kuanzia siku tano? Tena ukitoka ndipo uanze kufuatilia. Watanzania wengi wako busy na kusaka ugali, pia hawajui Sheria za msingi. Hawajui waanze wapi kupata haki zao. Kinachofanyika watu...
Back
Top Bottom