utapeli wa mitandao ya simu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Nimetapeliwa laki 4 Instagram na mtu aliyedai kuwa yeye ni muuza simu anaepatikana Pemba chake chake

    Nime tapeliwa laki 4 hapa Instagram na mtu alie dai kua yeye ni muuza simu anae patikana Pemba chake chake, ushahidi wote ninao lakini Ushilikiano wa kufatilia iyo kesi na vyombo husika ume kua mgumu naomba Ushauri
  2. I

    Tujihadhari na huu utapeli unaofanywa mitandaoni na watu wanaojifanya eti ni mawakala wa makampuni ya simu

    Kuna utapeli unaofanywa na baadhi ya watu wanaodai kwamba ni mawakala wa makampuni ya simu na kwamba wanaweza wakakupatia bando za Internet kwa bei nafuu kama huyu tapeli anayeitwa "Maulidi Athumani Muhenga" anavyojaribu kudanganya hapa. Habari. Naitwa Emmanuel Natoa Code Mpya Za Internet...
  3. Airtel muache kuiba MB! Yaan unaunga dk 1 kidogo tu imeisha??

    Aisee kujua unaibiwa had ujaribu kitu kingine. Nimekua nikinunua hili bando la 2100 la Gb lakin halikai hata dk tu limeisha. Sasa hiz siku mbili nimeunga voda GB 1 inakaa sana aisee had sasa nimetumia MB300 tu tangu sa moja na matumizi ni yale yale. Nimeamini Airtel ni wezi wa bundle kuna...
  4. Tuwe makini, nahisi hii mitandao ya simu haina ulinzi wa uhakika

    Iko hivi, siku za nyuma kama wiki tatu zilizopita nilikuwa naongea na mama kweny simu, tulikuwa tunaongea kuhusu maswala ya kutumiana pesa, nikwambia ntamtumia muda si mrefu tukimaliza kuongea, cha kushangaza baada ya kukata tuu simu, kuna message ikaingia ya namba nyingine ngeni inasema...
  5. Watanzani kuweni makini na wezi wamtandao wanajiita blackrock-009 ni wezi

    Watanzania naomba kuwataadharidha na hili kundi linajiita BLACKROCK-009 wameliza sana watu wakijinfanya kununua kifurushi na wewe kuwekewa pesa kutokana na kifurushi utakacho nunua. Ni kama DESI watu wameumizwa sana na juzi tarehe 5 wamewabadilikia na kuanzia ha mashariti mapya ambayo...
  6. B

    Hujuma kwa wateja, Makampuni ya Simu yanatoa namba za simu kwa wanaotoa mikopo haramu mtandaoni

    Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241. Swali la msingi ni kuwa hawa wanaokopesha wanapata wapi namba za ndugu zako, jamaa, na marafiki ambazo wanazitumia ujumbe kuwataarifu kuwa unadaiwa, umeshindwa kulipa mkopo,na maneno mengine yasiyo na staha. Fikiria mkopeshaji ambaye si tu hajawahi hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…