Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Kamishna wa Uchunguzi wa Sayansi ya Jinai kushirikiana na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Jeshi la Polisi kufanya operesheni ya kudhibiti na kukomesha vitendo vya utapeli wa mtandaoni pamoja na wizi wa simu...
Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc imetembelea soko la Makumbusho jijini Dar es Salaam kutoa elimu na kuongeza uelewa wa wananchi kuhusu utapeli wa kimtandao. Zoezi limefanywa kwa lengo la kuwasaidia watumiaji wa mtandao namna ya kutambua na kuepuka matapeli katika mitandao ya simu.
“Tatizo la...
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kumtapeli mwalimu mstaafu zaidi ya Shilingi milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi ambayo imeunganishwa na akaunti yake ya benki.
Matapeli hao wanadaiwa kumhadaa mwalimu huyo kwa kumwambia wanamtengenezea simu kisha kumuibia...
Watanzania naomba kuwataadharidha na hili kundi linajiita BLACKROCK-009 wameliza sana watu wakijinfanya kununua kifurushi na wewe kuwekewa pesa kutokana na kifurushi utakacho nunua.
Ni kama DESI watu wameumizwa sana na juzi tarehe 5 wamewabadilikia na kuanzia ha mashariti mapya ambayo...
Hii nchi imekuwa ya risk sana and no one cares! Watu wanaibiwa fedha, watu wanatapeliwa kila siku , serikali imekalia kutuma meseji "usikubali kutumanfedha kwa namba usiyo ijua" who cares vijijini huko watu hawaelewi chochote,
Kwanini serikali isitafute namna ya kushughulika na hao matapeli...
Wasalaamu,
Kwa watu wa Airtel kujifunza kwa wenzenu sio dhambi kuna haka ka message "Hiyo hela itume humu kwenye Airtel 06970534*** jina lije EDWARD R****".
Kaulizeni kampuni zingine kama Voda na Tigo/Zantel zimewezaje kuzuia hizi message zisiende kwa wateja mtumie njia hiyo nanyi kuzizuia...
Tunapata ujumbe au simu kutoka kwa watu wanaotumia baadhi ya mitandao ya simu, ujumbe maarufu ni wa "ile pesa tuma kwenye namba hii", tukiacha ujumbe kuna wanaotupigia simu wakijidai ni wafanyakazi wa kampuni ya simu ambao wanakuuliza kuhusu pesa zilizotumwa kwenye akaunti yangu, hawa huishia...
Jamii naomba tusaidiane kuelimisha juu ya utapeli unaofanyika hasa kwa mtandao wa facebook kwa kutumia jina la UNICEF.
Utapeli huu sasa umekithiri na watu wengi sana wanaendelea kuumia juu ya utapeli unaofanyika na kikundi kinachotumia jina la UNICEF na kudai kuwa wanatoa msaada wa fedha mara...
Mtandaoni ni mahali ambapo kunaweza kuwa na fursa nyingi; matumizi mazuri ya kimtandao yanaweza kutambua fursa chanya za kufungua faida nyingi zinazopatikana kwenye mazingira haya ya kisasa ya kimtandao.
Lakini Mtandaoni kuna masuala ya Utapeli pia. Je, Umewahi kukutana na matukio ya Utapeli...
Hizi kampuni fake zinadai zimesajiliwa na serikali lakini zinafanya kazi ya utapeli, zipo nyingi, cjui tala imarisha maisha. Tulia mikopo online na zingine zinatumia majina ya Jokate Mwegelo na kuna hawa wanatumia matangazo na video za watu mashuhuri kwa kuziedit.
Watanzania wamepigika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.