Habar Wana jamvi,
Wiki iliyopita nilipata wasaa wakutembelea kwetu Kijijini nikiwa kule Kijijini nilipata nafasi yakuzungumza na watu wa makundi mbalimbali, Wazee, Vijana ndugu na marafiki.
Stori iko hivi, kule Kijijini kuna wale Vijana wanaosajili laini za mitandao ya simu kama Vodacom...
Nimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini.
Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi. Kanijibu niache utapeli. Nilipozidi kumsisitiza ache kunitusi na sijui namba yangu kaipataje akazidi...
Wasalaamu,
Kwa watu wa Airtel kujifunza kwa wenzenu sio dhambi kuna haka ka message "Hiyo hela itume humu kwenye Airtel 06970534*** jina lije EDWARD R****".
Kaulizeni kampuni zingine kama Voda na Tigo/Zantel zimewezaje kuzuia hizi message zisiende kwa wateja mtumie njia hiyo nanyi kuzizuia...
Wana wa Jamiiforums, Nawasalimu.
Sina uhakika kama hili linatokea kwangu tu au ni kwa kila mtu zaidi ya mara tatu au nne imetokea kwamba nikipiga tu simu kwa mtu tukajadili habari ya hela ambayo pengine natakiwa kuituma kwa njia ya simu pindi nikikata tu simu meseji inaingia kuwa tuma kwa namba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.