Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex Msama anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Dar es Salaam kwa tuhuma za kutapeli viwanja vinne vya Beatrice Mshumbuzi, vinavyokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 800.
Msama amekabidhiwa kwa polisi leo na Waziri wa Ardhi, Jerry Silaa.
PIA SOMA
-...
Jamani naomba tutaje maeneo ambayo yanaongoza kwa utapeli wa viwanja...
-Tutaje jina la eneo, Kata na Wilaya husika
-Ushuhuda
Itasaidia kuwa tahadharisha watu,hasa wale wanunuzi wa mara ya kwanza wa viwanja.
Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM.
====
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
Nina andika kwa masikitiko makubwa huu mji wa tanga umekuwa wa hovyo mno .As if if hakuna serikali inayofanya kazi zake kwa weledi. Hii mata ya changani kuna huyu mwenyekiti anaitwa masumbuko sijui aliwezeje kukalia kiti cha kuwa mwenyekiti. Yan hana weledi alafu ni tapeli na nusu wao pamoja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.