utapiamlo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini waliotuletea mahindi wao hawali ugali?

    Ugali ni chakula cha kushangaza ambacho hupendwa sana na watu wengi Africa Mashariki, kati na magharibi. Tatizo la ugali ni kwamba hauna ladha, hauliki wenyewe bila chakula cha ziada. Wazungu waliotuletea mahindi Africa karne ya 17 wao hawali ugali, wachache wanaokula wameendelea kula mahindi...
  2. Watafiti wa mazao viko wapi viazi lishe?

    Miaka ya huko nyuma kidogo watafiti mlituletea viazi karoti au viazi lishe, viazi hivi vilikuwa vya njano ndani na mlituambia vina ubora mkubwa kwenye lishe kuliko vilivyopo vya asili. Lakini havikuchukua muda vikatoweka kwenye soko, baada ya kutoweka sijasikia mkijaribu kuvifufua, sijui sababu...
  3. Dhiki waliyonayo Watanzania inatisha, Waacheni wapewe msaada wa Chakula kuondoa Utapiamlo

    Wazungu wasingeweza kuleta Chakula Tanzania ikiwa nchi hii inajitosheleza kwa Chakula , wanayo macho na wanaona hali halisi ya Wananchi Viongozi acheni uongo wa kijinga , okoeni maisha ya wananchi wenu ambao ni wazi mnajua wana dhiki utadhani nchi iko vitani , mnataka kuficha kitu gani na ni...
  4. Dkt. Janabi na Wanaharakati wa Afya tuache upotoshaji. Nchi ina tatizo kubwa la Utapiamlo na sio uzito wala unene

    Leo ninaandika nikiwa na hasira zilizochanganyikana na huzuni kwa upotoshaji mkubwa unaofanywa na huyu daktari pamoja na madaktari wengine uchwara wanaolazimisha ionekane kuwa nchi ipo kwenye tatizo kubwa la unene uliopitiliza wakati ni kinyume chake. Tumekuwa tukiwasikia msile wanga mara...
  5. SoC03 Tatizo la udumavu au utapiamlo kwa watoto walio na umri chini ya miaka mitano hasa katika maeneo ya vijijini

    Habari zenu wanajamii wenzangu wa JamiiForums , katika makala hii fupi ninayoandika ni kwa lengo la kuelimisha na kufundisha wazazi na walezi juu ya umuhimu wa lishe bora hasa kwa watoto wadogo walio chini ya umri wa miaka mitano katika maeoneo ya vijijini na hii itaweza kusaidia kutengeneza...
  6. M

    Iringa na Mbeya zaongoza kwa utapiamlo

    Mikoa ya Iringa na Mbeya inaongoza kwa kuwa na watoto wenye udumavu 👇Dar, Kilimanjaro zaongoza wenye ‘viriba tumbo’
  7. Nilivyomteka nyara mtoto wangu mwenye utapiamlo toka kwa mama yake

    Kuna mwaka niko mitaa ya Mwananyamala nikakutana na dada fulani wa kizaramo anaitwa Somoe. Ni wale waswahili OG sema Mungu alimjalia sura na umbo zuri. Nikaimbisha nikakubaliwa nikawa najimegea show za kibabe. Tangu nibalehe sijawahi kutana na fundi kitandani kama Somoe Akanitegeshea mimba...
  8. Wengi wenye vitambi walipata utapiamlo utotoni

    Habarini wakuu sana. Ipo namna hivyo. Watu ambao hawakupata lishe ya kutosha utotoni huwa wanapoteza uwezo wa kuchakata msosi. Yaani mwili wake unavyotumia chakula ni tofauti na mtu ambaye alipata lishe ya kutosha. Sasa mtu huyu akipata pesa au uhakika wa msosi ukubwani, anajikuta anakula...
  9. Bodi ya nyama Tanzania yashauri jamii kutumia nyama kuondokana na utapiamlo

    Imeelezwa kuwa kitaalam na kiafya mtu mmoja anapaswa kula nyama wastani wa kilo moja kwa wiki ikiwa ni njia moja wapo ya kuondokana na utapiamlo. Hayo yameelezwa leo Oktoba 28 Jijini Dodoma na Msajili wa Bodi ya Nyama Tanzania Dkt. Daniel Mushi wakati Akielezea utekelezaji wa shughuli...
  10. RIPOTI IGAD: Watoto milioni 10 wana Utapiamlo Afrika Mashariki

    Ripoti hiyo mpya ya Shirikisho la Maendeleo la Pembe ya Afrika imeonesha Watoto milioni 10 wana Utapiamlo huku zaidi ya watu 380,000 wakiwa kwenye hatari ya kufa kutokana na njaa. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho hilo Workneh Gebeyehu ametaja sababu kuwa ni ukame ambao haujawahi kutokea kwa...
  11. Tumefanikiwa kutokomeza utapiaK lakini utapiamlo umetushinda

    Wasalaam wana JF Vijana wengi hawana utapiaK, wanachakata K kwa kwenda mbele au wanapiga chaputa. Tatizo sugu ni utapiamlo. Vijana wengi hawali balance diet. Elimu ya lishe itolewe, tutapoteza nguvu kazi yetu.
  12. Prof. Mkenda: Mikoa inayozalisha chakula kwa wingi inaongoza kwa udumavu kwa watoto

    Waziri wa Kilimo, Prof. Adolf Mkenda amesema takwimu zinaonesha udumavu kwa watoto unaongoza katika mikoa ambayo inazalisha chakula kwa wingi Mikoa hiyo ni Njombe 53.6%, Rukwa 47.9%, Iringa 47.1, Songwe 43.3%, Kigoma 42.3% na Ruvuma 41% Amesema hali hiyo hairidhishi. Serikali imeendelea na...
  13. DC Handeni aonya wanaonyonya maziwa ya wake zao

    Handeni. Wanawake wanaonyonyesha wilayani Handeni mkoani Tanga, wamemuomba Mkuu wa wilaya hiyo, Siriel Mchembe kuwasaidia kupaza sauti na kukemea wanaume wao kuacha tabia ya kuwanyonya maziwa kwasababu wanawafanya watoto wasipate maziwa ya kutosha. Ombi hilo wamelitoa leo Jumanne Agosti 10...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…