Ndugu zangu Watanzania,
Nimeona kwa siku za karibuni kuona Waziri au Mawaziri wakifanya kazi ya kukagua ama kuzindua ama kutembelea miradi isiyo chini ya wizara zao. Sasa katika utaratibu huu mpya nilikuwa na Maswali kadhaa ila leo nauliza machache.
Je utaratibu huu hauwezi kuleta migogoro ya...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra), inatarajia kuanzisha huduma ya ‘Ride Sharing’ kabla ya kuisha mwaka huu wa fedha 2024/25.
Watu tisa hadi 14 wataweza kupanda gari moja kwa kuomba kupitia mitandao ya simu hata kama wapo vituo tofauti.
Akizungumza na Mwananchi, leo Jumanne, Agosti...
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Joseph amesema Serikali ina mkakati wa kutumia TEHAMA ili PF3 ziwepo kwenye mifumo ya utoaji huduma za hospitali ili kusaidia wagonjwa kupata huduma kwa wakati.
Mdau wa JamiiForums.com kupitia shindano la Stories of Change (2023) aliwahi kushauri mambo...
Siyo kuwa Mtanzania anapenda kununua gari lililotumika la hasha. Kinachopelekea Mtanzania kununua gari lililotumika na hali ya kipato chake. Kwa Mtanzania kama mimi siwezi kununua gari jipya la toleo la toyota kwa gharama ya Tshs.120,000,000 au Toyota Landcruiser hard top kwa Tshs. 160,000,000...
Utaratibu huu wa polisi wa kumuita mtu kwa kumpigia simu au barua afike kituo cha polisi ni utaratibu mzuri sana kwani unalinda staha na heshima ya mtuhumiwa. Na ni utaratibu wa kistaarabu sana. It is a civilized form of summoning the accused person.
Katika hili nawapongeza sana polisi. Mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.