Wakuu kwema??
Hivi mtu ukitaka umiliki silaha kama Bunduki,. Pistol yaani utavipataje?,. Utaratibu wake ukoje kuanzia kwenye kununua unanunua wapi?, usajili na Kila kitu..
Na je Kunakua na ukaguzi labda au unaitumia tu vyovyote unavyotaka,. ?? Na Je vitu kama Sulphuric Acid nikitaka kununua...