Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete (Mb), amekabidhi hati nne za milki ya ardhi kwa hospitali ya Kibong’oto mbele ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Mpango wakati wa uzinduzi wa maabara ya jamii hospitalini hapo. Mpango wa matumizi ya...