utashi

Abraham Kipchirchir Rotich (born 26 June 1993) is a Kenyan-born Bahraini middle-distance runner. Rotich won the 800 metres at the 2012 Diamond League meeting in Monaco.

View More On Wikipedia.org
  1. Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

    Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga. . Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
  2. T

    Je, nini kitangulie Mabadiliko ya Sheria au Utashi wa Kisiasa kuhusu Uchaguzi huru?

    Kuna tatizo kubwa sana kuhusu uchaguzi huru wazi na wa haki nchi hii kiasi cha kwamba kila mwananchi amekata tamaa na suala hili. Mimi na wananchi tunajiuliza tatizo ni kukosekana kwa utashi wa kisiasa na Rais na viongozi wengine kuwa na utashi wa kisiasa wa kutoa miongozo thabiti ya walio...
  3. M

    Ni haki DCC kukamata toyo za kuchaji, kuzipiga faini na kulipisha Tsh 50,000 ya maegesho kila mwezi?

    Niaje niaje, lengo la uzi wangu sio kubishana na mamlaka za serikali bali naomba kupata ufafanuzi. Nimelileta hapa jukwaani suala la DCC kukamata vile vitoyo vya kuchaji na kuvipiga faini kwa kupaki mjini na kuvilipisha parking ya tsh 50,000 kwa kila mwezi. Je, ni sawa kulipisha hiyo pesa? Ipo...
  4. Pre GE2025 Tamaa ya Tundu Antipas Lissu, Kuutaka uwenyekiti wa CHADEMA taifa ni utashi wake binafsi au shinikizo kutoka nje ya nchi kwa wanao mbackup!

    Chairman wa sasa wa Chadema Taifa, Freeman Aikaeli Mbowe, akizungumzia kusudio la Tundu Antipas Mughwai Lisu kugombea uenyekiti wa Chadema Taifa, kwa namna yoyote ile atakua ameingia kwenye trap au mtego wa kisayansi alotegwa na kukoleza au kuzidisha joto, uhasama na vita ya madaraka ndani ya...
  5. Kwanini hakuna mpango wa maalum wa kujuza umma ikitokea kiongozi amepata maradhi?

    Kwamba nyumba yetu haina protocol maalum ya kufahamishana hali za kiafya za wanafamilia! Mara ya mwisho wanafamilia kupata taarifa rasmi ni mwaka 2014 alipofanyiwa upasuaji JK. Tena mpaka vyombo vikubwa viliripoti. Kwani viongozi wa kaya hawajui kwamba mficha maradhi kifo humuumbua?
  6. MSIDNGANYIKE MKIUZA KIWANJA AMA NYUM.BA SERKL ZA MITAA HAPEWI KITU UNLESS N UTASHI WAKO KUSEMA AHSANTE

    Wiki iliyopita, Bunju kulikuwa kuna kiwanja cha jamaa kinauzwa, na mimi nilikuwa mmoja wa mashahidi. Gafla, serkali za mitaa zilianza kutaka kuulizia kiwanja kinauzwa shilingi ngapi. Mnunuzi akamwambia hiyo ni makubaliano yangu na anayeniuziya. Mwenyekiti akakataa kutoa ushirikiano mpaka ajue...
  7. Mbowe: Kuna utamaduni wa kudhani Utashi wa Kiongozi Mkuu wa Nchi ndio Dira ya Taifa badala ya Katiba

    Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa. Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
  8. Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
  9. Mliopata utashi wa kufuata dini tofauti na za kurithishwa na wazazi wenu, mliwezaje?

    Hapa kazini nimekutana na binti Wa kisabato.Nimekua nae karibu sana na ananiheshimu sana kikazi lakin pia kimahusiano ya kawaida. Ni binti mwenye maadili ya hali ya juu, kutokana na mazoea nikaamua nimchimbe alikujaje kua msabato kwan nilijua amezaliwa kwene familia ya kisabato haswaa. Cha...
  10. Huu ndio utashi wa kisiasa kwa viongozi wa wananchi Afrika Mashariki, kuonyesha njia na kuwajibika

    Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu, Dr. William Samoe Ruto, ameskiza sauti ya Mungu. Akubali yaishe.. Ajishusha na kuonyesha njia. Ni wajibu wa waKenya kuungana na kumfuata mguu kwa mguu kiongozi wao huyu msikivu na mwenye maono ya kipekee na makubwa sana ya kutrasfom kenya into prosperity...
  11. Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

    Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20% Tasfiri yake...
  12. R

    Padre Kitima: Tanzania kinachosumbua ni utashi wa watu kuongozwa na sheria

    Hata tukawa na katiba bora kabisa , kama hakuna utashi wa kuongozwa na sheria ni Bure! Kumbe huyu ni mbobezi wa Constitutional Law! Msikilize
  13. Authenticated leaders (viongozi wenye utashi hakika sahihi na wakweli) ndio msingi wa kwanza wa uongozi

    Msomi wa vitabu Hayati Benjamin Mkapa alikuja na kauli mbiu ya UKWELI NA UWAZI sikumielewa sana kipindi kile. Ilikuwa ni kauli mbiu ya kisomi sana kwa mtu wa kawaida kung'amua. Katika harakati zangu za Maisha longolongo ndio ilikuwa janja yangu. Katika kikao kimoja nilifanya na viongozi wa...
  14. Kama nchi, ushoga tumeukataza na kuuadhibu kisheria. Kilichobaki ni utashi wa kuisimamia sheria husika, tuache porojo!

    Nimechukua muda wa kutosha kuisoma Sheria ya Kanuni ya Adhabu (Sura Na. 16 iyofanyiwa mapitio mwaka 2019) na kujiridhisha pasi na shaka kuwa, kama nchi-Tanzania, ushoga umekatazwa na kuadhibiwa vikali kwenye sheria hiyo. Ni vifungu vya 154 na 155 vya Kanuni ya Adhabu. Wahusika wote wa ushoga...
  15. Hili ndilo kundi lako la kiwango cha Utashi

    Nadhani umeshawahi kusikia mtu akisema "...tatizo una IQ ndogo sana.." na wewe bila kuchanganua hoja yake ukakasirika. Inawezekana ni kweli au sio lakini je IQ ndiyo kigezo pekee Cha kupima utashi wa mtu? Hebu tiririka nami kwenye hii makala fupi sana. "Kulingana na Wanasaikolojia, kuna aina...
  16. Maridhiano ya CHADEMA na CCM ni batili kwakuwa sio jumuishi

    Kabla ya hicho kinachoitwa maridhiano hakuwahi kuwepo kwa hitaji hilo toka kwa wananchi. Kama mwana ccm na mwananchi sikuwahi kusikia popote pale wananchi au wanachama wa ccm wakishinikiza kuwepo kwa maridhiano hayo. Ni ajabu sana kwa viongozi wa CCM na Chadema kusimama na kusema kwamba kuna...
  17. Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  18. Hayati Magufuli alikuwa na utashi lakini alikosa uwezo

    Mimi nakubali sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha, japo nina uhakika asingeweza kuimaliza maana tayari alinipiga pini yeye mwenye kwa kuweka mazingira magumu kwa wafanyabiashara wakubwa, kutoamini...
  19. Hongera Luhaga Mpina kwa kuwa na akili na utashi wa kibunge

    Wasalaam JF Pongezi kwa ndugu Luhaga Mpina kwa namna anavyowasilisha hoja zake, michango yake, mantiki na maudhui, anakuwa na hoja na mapendekezo. Uwakilishi halisia wa kibunge, Mungu ambariki sana, na anatoa taswira nzuri ya uwepo wa watu wenye akili na utashi wa kibunge ndani ya Bunge letu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…