utatu

The United National Transport Union (UNTU) is a trade union representing transport workers in South Africa.
The union was founded on 22 June 2012, when the United Transport and Allied Trade Union merged with the South African Railways and Harbours Union. Like both its predecessors, it affiliated to the Federation of Unions of South Africa. The union was initially known as UTATU SARWHU, but became UNTU in 2014.As of 2019, UNTU had about 60,000 members, and was led by general secretary Steve Harris.

View More On Wikipedia.org
  1. Waziri Kombo aongoza Mkutano wa dharura wa Kamati ya Mawaziri wa SADC

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameongoza Mkutano wa Dharura wa Kamati ya Mawaziri wa Utatu wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) *ulio*fanyika kwa njia ya mtandao kujadili hali ya usalama...
  2. R

    Utatu Mtakatifu: Wanatheolojia tujadili

    Nafsi tatu zinazofundishwa na madhehebu ya kikristo maana yake nini? Mantiki yake ni ipi? God is not a substance that can be divided into pieces. Yako madhehebu ya kikristo yanayofundisha kwamba nafsi tatu ni God's manifestation in various occasions. Naweka hoja mezani tujadili. Je, Mungu...
  3. Kanye Ataka Mapenzi ya Utatu (Threesome) na Michelle Obama

    Rapa Kanye West amefunguka kutamani kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Michelle Obama. Kanye West has revealed his desire to have a threesome with a beloved First Lady: Michelle Obama. In an interview with Justin Laboy on The Download...
  4. MAP, utatu hatari unaosumbua Soka la Tanzania na utakaotawala Soka la Afrika

    MAP - Max, Aziz Ki na Pacome Huu ni utatu /Ramani ya hatari sana na kwa wale wenye macho ya ndani tunaona kabisa kwamba utatu huu utaendelea kufanya mambo makubwa mno pengine kuwahi kutokea Tanzania, Afrika Mashariki hata Afrika kiujumla. Uzi huu ubaki kama kumbukumbu.
  5. Duru: ' Utata wa Utatu', Katiba, Muungano na Kura ya Maoni

    Sehemu ya I Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda. Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano na Kura ya maoni'' . Madai ya katiba ni katika eneo la madaraka ya Rais, kuimarisha taasisi na...
  6. Kipindi cha "Jahazi" cha Clouds FM kiongezewe muda

    Kwenu wadau... Kile kipindi cha ule utatu (Bantu, Gadner na Musa) kiukweli wamekipunja muda. Wale walevi wanafanya poa sana kudadeki zao, masaa 2 hayawatoshi kabisa. Uongozi wa CMG ulifanyie kazi hili suala. Wassalaam!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…