Poleni na majukumu ndugu zangu Wanafamilia ya JamiiForums!
Nimerudi Tena kuleta mrejesho na kuomba kuendelea kuongezewa uwezo kwani naamini kuwa humu mpo baba zangu, mama zangu na wengine wengi.
NINAWAHESHIMU na KUWATHAMINI SANA kwa umuhimu wenu.
Mapema mwaka huu Baada ya kutengenezewa tuhuma...
MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA
Rushwa ni kitendo cha kutoa, kupokea kitu, fedha kwa jambo ambalo haukuwajibika nalo kinyume
cha sheria.
Kama ilivyotajwa katika kanuni za maadili Rushwa ni kitu chochote chenye thamani na kinatolewa au kupokelewa na mtu yeyote ambaye sio muwajibikaji...
Utawala bora na uwajibikaji; Ni mamlaka na haki ya kuongoza kwa kufuata taratibu za kikatiba, na kujitoa katika kufanya mambo yote yaliyo majukumu anayotakiwa kufanya kiongozi au mtu yeyote aliye na dhamana katika eneo husika. Uwazi, usawa, Uhuru wa vyombo vya habari pamoja na uwajibikaji ni...