utawala fisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Mhando

    Au Tubadili Rangi

    Mlevi na Redio 1 Mlevi kajilaza, chupa mkononi, Redio inavuma, kwa sauti laini, Sifa kwa rangi, zinasikika mbali, Lakini mitaani, shida ni ile ile. 2 Barabara mashimo, taa hazing’ai, Bei ya chakula, imeshika mbio, Ajira ni ndoto, vijana wanalia, Lakini wasema, "Maisha ni bora!" 3 Mlevi...
Back
Top Bottom