utawala wa rais samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwamuzi wa Tanzania

    Kila unaloliona katika utawala wa Rais Samia ni matokeo ya utawala wa Rais Magufuli

    Mimi si muumini wa siasa za CCM, nilichukizwa zaidi na CCM ya Magufuli kuliko utawala wowote ule. •Mambo ya watu kuishi kwa kutegemea uchawa Tanzania tulikuwa hatuyajui lakini kwenye utawala wa Magufuli ndipo uchawa ulipokuwa ajira rasmi. Kulikuwa na watu wao kazi yao asubuhi mpaka usiku ni...
  2. T

    Pre GE2025 Hivi Mshindani sahihi wa Rais Samia ni nani?

    Mbona naona kama hakuna mtu anayejitutumua na kutosha kuwa mpinzani sahihi wa Rais Samia kwenye uchaguzi mkuu!
  3. milele amina

    BABU: Utawala wa Rais Daniel Moi wa Kenya ( 1978-2002) unafanana na utawala wa Rais Samia wa Tanzania (2021-2024).

    Utawala wa Daniel arap Moi nchini Kenya, ambao ulidumu kuanzia mwaka 1978 hadi 2002, unakumbukwa kwa matatizo mengi, ikiwa ni pamoja na utekaji wa raia, ukandamizaji wa viongozi wa kisiasa, na mauaji. Hali hii inaonekana kuwa na uhusiano wa karibu na utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan wa...
  4. M

    Zitto ulitaka iundwe tume ya kuchunguza matendo ya kuumiza watu kipindi cha Magufuli. Uko tayari Iundwe ya kuchunguza mambo hayo wakati wa Samia??

    Siyo siri, Inaonekana Samia ameshauriwa au amejishauri kuwa na yeye ageze mambo ya Magufuli ili kutishatisha watu. Inavyoonekana hali ya kisiasa na kiuchumi nchini imewasukuma kuamini kuwa Watanzania wanahitaji kutishwa ili Ule moyo wa ujasiri wa kwenda next level katika kuchallenge matendo ya...
  5. Mmawia

    Mwaka wa pili sijawasikia watu wasiojulikana

    Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni. Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena. Kwani jamii hiyo ya watu wasiojulikana walikuwa wanatokea kwenye taifa gani hapa barani Afrika? Naomba mwenye uelewa wa...
Back
Top Bottom