Wadau hamjamboni nyote?
Siku ya jana, Elon Musk alimtembelea Rais wa Marekani Donald Trump kwenye ofisi ya Rais maarufu kama Oval Office.
Kilichovutia na kushtua wengi ni baada ya kumleta mwanae katika kikao chake na Donald Trump, jambo ambalo limeleta hisia tofauti kwa wachambuzi mbalimbali...