Fuatilia moja kwa moja mjadala unaofanywa na JamiiForums kwa kushirikiana na StarTV kuhusu hali ya siasa Nchini, na utawala wa sheria kuanzia saa 3:30 Usiku mpaka saa 5:30 Usiku.
Washiriki ni;
1: Wakili, Boniface Mwabukusi - Rais wa TLS.
2: Ado Shaibu - Katibu Mkuu ACT WAZALENDO.
3: Benson...
Muundo au Mfumo wa muingiliano wa dunia baada ya kuisha kwa vita vya pili vya dunia ulijulikana kama Rules-Based Order(RBO), katika mfumo huu viongozi wa dunia walikubaliana kuachana na ule unyang'au wa wakati uliotangulia wa kutumia mabavu ya vita kujiimarisha na ushindani wa kipumbavu wa...
Tanzania imepiga hatua kuelekea mfumo wa Kisheria unaowajibika zaidi na wa haki, kama inavyoonekana katika Ripoti ya 2024 ya Mradi wa Haki Duniani (WJP) kuhusu Utawala wa Sheria.
Hatua za utawala chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan dhidi ya ufisadi zimetajwa kuimarisha heshima ya...
Nchi hii ifike mahali tuwe na chombo kinacho wasimamia hawa viongozi maana nikama wakisha kuwa na madaraka ya juu basi wapo overall, Haya ya kuendelea kuwaacha waongoze kwa utashi wao na sio kuzongatia sheria kuna siku yatatokea ya Dr. Kleruu na mwamwindi
Mkuu wa mkoa kwa utashi wake anasimama...
Hili la kudai kuwa Tanzania HAKUNA utawala wa sheria naona linazidi kusemwa kila siku. Sasa hebu tuweke hata kwa "hisia" Tu list ya matukio unaona yanathibitisha kukosekana kwa utawala wa sheria Huko Tanzania. Naanza na mfano huu:
1. Kunyimwa dhamana kwa makosa yanayodhaminika.....rejea kesi ya...
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB ), Mathew Mwaimu amesema kuwa Tanzania Nchi inayopaswa kuzingatia Utawala wa Sheria na kwamba Mtu anapoona hatari anatakiwa kutoa taarifa kwenye mamlaka stahiki.
"Tunazungumzia Tanzania Nchi inayopaswa kufuata Utawala wa Sheria...
1. Kwamba kinachoendelea Marekani ni jitihada za Serikali ya huko kupinga haki ya watu kujieleza?!
2. Kutokuheshimiwa huku kwa wazi kwa misingi ya kawaida kabisa ya utawala wa sheria, ni wa kulaaniwa vilivyo na kila mtu na hasa mtanzania aliye mzalendo.
3. Kwamba CHADEMA chama tegemeo kwa...
WAKILI mahiri na msomi kweli kweli. Pia shangazi wa taifa, Bi Fatma Karume, amesema kuwa hatuna utawala wa sheria Bali tuna watawala wa sheria.
Hii inamaana gani kwamba nchi inaendeshwa kwa matakwa ya watu na sio kwa majibu wa sheria. Kwa maneno mepesi ni kwamba watawala au watu wenye...
WADAU wa Haki za Binadamu Zanzibar wameshauri kuimarisha mifumo ya utawala bora wa sheria ili kuhakikisha uwajibikaji na upatikanaji wa haki kwa wote unafikiwa katika kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia.
Wametoa maoni hayo katika mdahalo ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa...
UWAJIBIKAJI WA UTAWALA BORA NA KUIMARISHA UTAWALA WA SHERIA KWA USAWA NA HAKI
Utangulizi
Uwajibikaji wa utawala bora na kuimarisha utawala wa sheria ni msingi wa maendeleo endelevu katika jamii. Makala hii ina lengo la kuchunguza jinsi uwajibikaji na utawala bora vinavyoweza kuleta mabadiliko...
Shairi: USTAWI WA TAIFA KUPITIA UTAWALA WA SHERIA NA USALAMA WA NCHI
Imeandikwa na: MwlRCT
Shairi hili linazungumzia jinsi utawala wa sheria na usalama wa nchi vinavyochangia ustawi wa taifa. Lina kusudi la kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu mambo haya. Linatumia dhana za utawala wa sheria...
UTAWALA WA SHERIA: SILAHA DHIDI YA UFISADI
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Ufisadi ni mojawapo ya changamoto kuu zinazokumba mataifa mengi ulimwenguni, hususan yale yanayoendelea. Ufisadi unaharibu uchumi, unazuia maendeleo, unatishia usalama na unakiuka haki za binadamu. Kupambana na...
Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani"
Muda wote huo baba kwani huchoki?
"Hapana hadi ifike mwisho ndo nitakuruhusu uichomoe"
Hayo...
Chadema ni wazi kwamba wanajinasibu kwamba wanapenda saaana katiba na utawala wa sheria, na wamekaza shingo na meno wakitaka katiba mpya.
Kwa nini wanataka kuingilia Uhuru wa mahakama inayosikiliza kesi ya akina Mdee na kushinikiza wao ndio wawe washindi? Yaani ili haki iwe haki basi inabidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.