utawala

  1. JamiiForums Tanzania ACT: Tanzania ipo katika mkwamo wa Kisiasa, sababu ya ukiukwaji wa Demokrasia, Utawala Bora na Haki za Binadamu

    TAARIFA KWA UMMA HAKUNA MARIDHIANO BILA UKWELI, HAKI NA UWAJIBIKAJI Leo, Novemba 1, 2026. Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kuwa Tanzania ipo katika mkwamo mkubwa wa kisiasa unaotokana na ukiukwaji wa misingi ya demokrasia, utawala bora na haki za binadamu, na kusisitiza kuwa hakuna maridhiano...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Utawala ambao ungesahaulika ghafla na usikumbukwe kabisa, ni huu wa Samia, ila kwa sababu ya mauwaji, utakumbukwa kwa ukatili huo!

    TANZANIA tulipoanza kudai maendeleo katika nchi yetu, tulionjeshwa kidogo namna ya kuyaleta hayo maendeleo na yenye uchungu ndani yake, tulipewa brudoza, tingatinga, ambalo halikujali chochote chenye kutia hasara na ama kitacholeta uchungu badaye, Bali ilikuwa wengine wote wakae kimya, brudoza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Padri Kitima: Utawala ni dhamana unayopewa na wananchi na lazima uwasikilize wananchi

    Akizungumza katika Misa Takatifu ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Padri Charles Kitima amewakumbusha viongozi na wananchi kuwa utawala wa kisiasa ni dhamana inayotoka kwa wananchi kwa mujibu wa Katiba ya nchi. Amesisitiza kuwa viongozi...
  4. JamiiForums Tanzania Utawala wa mmoja wa matapeli waovu na wenye kiu ya damu zaidi katika karne ya 21 hatimaye umefika mwisho.Kwa heri Netanyahu

    Wanaukumbi. 🇮🇱 NETANYAHU KUONDOKA TEL AVIV IMEANZA KUSHEREHEKEA Vituo vya kupigia kura vimefungwa. Tel Aviv imelipuka kwa sherehe za upinzani. Kulingana na matokeo ya kura, kambi ya Netanyahu imeshindwa kupata wingi wa kura. Upinzani na vyama vya Waarabu sasa vinaweza kuwa na nguvu ya kuamua...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi ya 5 kwa utawala bora Africa, ikifatiwa na Mauritius, Rwanda, Botswana na Morocco imepanda kutoka 6-5, 2026

    Nianze na kumpongeza Rais wa JMT DR SAMIA SULUHU HASSAN kwa kuendeleza utawala Bora nchini, Dunia Imejionea yenyewe jinzi utawala Bora unavyotekelezwa nchini na ikizingatiwa hivi karibuni USA ilitoa waraka ukisema Tanzania ni nchi salama. Narudia tena: HONGERA SANA MH. RAIS DR SAMIA SULUHU...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya tano kwa utawala Bora Afrika na duniani namba 80

    Tanzania imeshika nafasi ya tano barani Afrika na nafasi ya 80 duniani katika Kielezo cha Chandler cha Utawala Bora Serikalini cha mwaka 2026 (CGGI), baada ya kurekodi maboresho makubwa zaidi katika utendaji wa jumla wa Serikali miongoni mwa nchi 23 za Afrika zilizotathminiwa tangu mwaka 2021...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania Namba 5 Kwa Utawala Bora Afrika Ikitanguliwa na Mauritius,Botswana, Morocco na Rwanda.

    My Take Watakaoumia sana baada ya hii ripoti ni Chadomo na wale Jamaa wa Kanisa la Mitume wa Kirumi 😂😂👇👇 https://www.instagram.com/p/De84fu_gl6I/?dlrf=aTl4bXhodmk0MXdw
  8. JamiiForums Tanzania Nini CHADEMA wamefanikiwa kwa utawala huu wa Ndugu Samia

    Wanajamvi salama kwenuu. Leo tuweke mambo makubwa ya waliofanikiwa CDM toka uongozi wa Mh Tundu antipas Lisuu. 1. Chadema wamefanikiwa kusumbua kwa hoja kutuu huu utawala vibaya mnoo kila aliye ndani ya utawala wa mh sana Samia anazunguka tuu CDM oo Sijui Heche sijui Msigwa sijui Lisuu anzia...
  9. JamiiForums Tanzania "Huu Sio Wakati wa Unyonge,ni Wakati wa Kuunguruma Kwa Sauti Kubwa, Kuthibitisha Maana Halisi ya Utawala wa Sheria", - Hatubabaiki- Rais wa TLS

    Wanabodi, Msikilize Rais wa TLS, Wakili Boniface Mwabukusi Atuma Salaam nzito https://youtube.com/shorts/D8VgSlxC6Uw?si=JOjb2R7WjtdwsBbf Ni kama ametangaza vita. Mzee Pasco Rejea za Pasco kumhusu Rais wa TLS...
  10. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Suluhu Hassan wamsikilize Baba wa Taifa

    https://www.facebook.com/share/v/18gvMr6aPg/ Baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere alikuwa Kiongozi mwenye hikma,busara na maarifa ya kiwango cha juu sana. Naushauri utawala huu warejee alichozungumza Baba wa Taifa kuhusu Watawala(si Viongozi) ambao wanaitawala Tanzania kwa kuvunja Katiba ya ñchi...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiua taaluma ya sheria basi umeua utawala wa sheria CCM kuweni makini sana. Kutishia wanasheria ni hatari kwenu pia.

    Ukiua uhuru na uadilifu wa taaluma ya sheria, unadhoofisha utawala wa sheria; unapodhoofisha utawala wa sheria, unaweka rehani haki za wananchi, uwajibikaji wa serikali na misingi ya demokrasia. Serikali ya wananchi haiwezi kuwa imara pale ambapo sheria inalinda mamlaka badala ya kulinda haki.
  12. JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaendelea kusubiri hukumu ya kesi ya Lissu, ni mambo gani ya kisheria yanayostahili kuangaliwa

    Ngoja nikwambie kitu kimoja kuhusu kesi hii. Ukiisikiliza kwa juu juu, unaweza kudhani mjadala mkubwa ni kwamba Lissu alisema maneno gani na aliyamaanisha nini. Lakini ukiingia ndani ya sheria, utaona kwamba swali la msingi ni kwamba.. Je, Jamhuri imethibitisha kwamba maneno hayo yanatimiza...
  13. JamiiForums Tanzania Joseph Kabila na hoja 10 dhidi ya utawala wa sasa wa DRC chini ya Tshisekedi

    OKOA CONGO: Kabila Amkataa Tshisekedi Kuhudumu kwa Muhula wa Tatu na Kuwataka Wananchi Wachukue Hatua Kuokoa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Hoja kuu 10 kutoka katika hotuba ya Rais wa zamani Joseph Kabila. 1️⃣ Kongo iko katika hatari ya kusambaratika...
  14. JamiiForums Tanzania Miaka michache ya utawala JPM ni wazi sheria mbovu na maovu mengi ni ruhusa yake.Je tungekuwa naye mpaka leo.

    Ukweli mchungu ila tutafute chanzo cha haya yote. Utawala wa JPM kulipitishwa sheria mbovu kupita kiasi hata huko ulipo pole pole,nchimbu,ndungai,tulia na CCM zina watafuna wenyewe. Hii ya kushinda asilimia zote kila ngazi ni nyie mlianza kwa JPM. bunge kuwa FM academia limianza kwa JPM...
  15. JamiiForums Tanzania Utawala wa JF, pale inapokuja mtu kupost picha ya mfanya tukio au mhanga wa tukio ni vyema picha iwe yake mwenyewe na sio ikiwa na watoto wake wadogo

    Huu ndio utu. Hii ndio ethics Sio wema kabisa watoto hawa wawe exposed na kuwa targeted. Sio kila mtu anakili ya alfajiri, watu vichwa vyao vimejaa giza. Maxence Melo Cookie Payge Active 255Fixer
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa 153 wa IPU Arusha: Je, Tanzania Inahubiri Utawala Bora Usio na Uhalisia?

    Wakati wabunge na viongozi wa kidiplomasia kutoka nchi zaidi ya 140 wakimiminika jijini Arusha kwa ajili ya Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) utakaofanyika kuanzia Oktoba 5 hadi 9, 2026, Tanzania inajikuta katika njiapanda nzito ya kisiasa. Kwa upande mmoja, nchi inajivunia fursa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Yazidi kunishangaza jinsi gani nchi yetu inaongozwa kwa mazoea ya watu badala ya Sheria ya nchi

    Yazidi kunishangaza jinsi gani nchi yetu inaongozwa kwa mazoea ya watu badala ya Sheria ya nchi. Chukulia hoja hizi tatu (3) zikifuatiwa na majibu yake kisha nambie hiyo Katiba Mpya itaandikwa nini tofauti na Katiba hii iliyopo ili Watu wafuate Sheria badala la Mazoea. 1. HOJA - Chama cha...
  18. JamiiForums Tanzania Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

    Mama Samia akiapishwa 2021. Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake? Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief! Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics. Na alianza na...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kigogo, ni nani huyu aliyeuandama utawala wa awamu ya tano na sasa yuko kimya...

    Huyu jamaa ni nani... Alikuwa Mtu, kikundi kilichouandamana utawala wa Magufuli na kuutetemesha... Alipewa taarifa nyeti na nani kipindi hicho? maana taarifa nyingi alizotoa zilikua sahihi... Kwanini yuko kimya katika utawala huu? Je mambo aliyopigania yamepatikana? au hakuupenda tu utawala...
  20. JamiiForums Tanzania Udikteta ndio chaguo bora la utawala

    Kwa utafiti mdogo nilioufanya UTAWALA wa kidemokrasia ni utapeli tu na mtego ambao nchi nyingi za kiafrika zimejiingiza kingi bila kujua ,naamini udikteta NDIO mfumo Bora wa kutongoza nchi kwasababu dikteta anakuwa msemaji wa mwisho katika maswala ya nchi bila kuingiliwa na makuburu na walowezi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…