Kabla ya kuelezea uhusiano uliopo Kati ya uchumi na utawala bora, ni vema kuanza kueleza dhana ya uchumi na utawala bora.
Uchumi, ni usimamizi wa rasilimali, uzalishaji bidhaa, usambazaji wa bidhaa na utoaji wa huduma kwa jamii ili kuwa na maisha bora kwa jamii na watu kwa ujumla. Uchumi...