utawala

  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuwa na Dira ya Taifa ya Maendeleo na kuzingatia utawala bora

    UMUHIMU WA KUWA NA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO NA KUZINGATIA UTAWALA BORA Dira ya taifa ya maendeleo ni kielelezo ambacho jamii au taifa linaongozwa kufanikisha matakwa au matumaini ya kuwa na maisha bora zaidi katika muda uliokusudiwa na matakwa hayo sharti yaeleweke na kukubaliwa na jamii au...
  2. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Uwajibikaji na Utawala Bora

    Awali ya yote itakuwa mujarabu nikianza kuelezea kwa kifupi maana ya maneno uwajibikaji na utawala bora. Aidha maneno hayo ni kama chanda na pete. Ni kwa nadra sana unaweza kuyatenganisha. Uwajibikaji ni neno ambalo lipo katika mawanda mapana hususan katika maisha ya mwanaadam. Neno hilo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tunawezaje kupata utawala bora

    TUNAWEZAJE KUPATA UTAWALA BORA? Hakuna namna eneo lolote linaweza kujiendesha lenyewe bila uwepo wa utawala kuanzia ngazi za chini za kitongoji mpaka za kitaifa.Uwepo wa utawala ni wa muhimu sana ili kuhakikisha kuwa shughuli zote zinazofanyika katika eneo husika zinaenda sawa chini ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala wa haki si sheria Afrika

    UTAMBULISHO Andiko hili limeandikwa na Mkalimani Nyakaya, kama mwandishi mkuu wa andiko, kwa upana, linakwenda kuangazia nyanja ya utawala bora na demokrasia, likigusa sheria kandamizi na vitendo vya ukiukwaji wa haki na uhuru vinavyofanyika sehemu mbalimbali ndani ya bara la Afrika. Mwandishi...
  5. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Athari za siasa katika Utawala wa Sheria

    Katika siku za hivi karibuni limeibuka wimbi la watu wanaodai kuwa siasa ni kila kitu katika maisha. Je ni kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria ambayo ndio uti wa mgongo katika utawala bora? Kwa Jicho pevu kabisa naweza kusema hapana si kweli kuwa siasa ni zaidi ya sheria. Ili kupata utawala...
  6. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika kujenga nchi na kuchochea uzalendo bora

    UTAWALA BORA KATIKA KUJENGA NCHI NA KUCHOCHEA UZALENDO BORA Utawala bora ni mchakato wa kuongoza nchi kwa kuzingatia suala la Demokrasia na utu wa wazawa katika nchi,utawala bora ni dhana kubwa ya kuwaleta viongozi wanaongoza na raia mahali pamoja ili kulijenga Taifa lenye maendeleo. Mambo...
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna mbunge atakayethubutu kuukosoa utawala wa Rais Samia, kwa sababu kwa kufanya hivyo atahatarisha nafasi yake

    Huo ndiwo ukweli. Wawakilishi wa wananchi hususani wabunge wote ni waoga kuukosoa Utawala wa Samia kwa hofu kubwa ya kutokuteuliwa 2025 kuwa wagombea wa nafasi hiyo. Kama yupo awaye na matarajio hayo ni bora ayafute. Ifahamike wabunge wote waliopo mle bungeni kwa sasa ni zao na bila kupepesa...
  8. JamiiForums Tanzania Deus Kakoko afikishwa TAKUKURU. Alikuwa "Untouchable" kwenye Utawala wa Jiwe

    Rejea headline ya Raia Mwema ya tarehe 24 August, 2022. Deus Kakoko alikuwa "Untouchable" kipindi cha Magufuli kutokana na kuwa msiri wake tangu akiwa Regional Manager wa TANROADS enzi za awamu ya 4. Wakati wa Mwendazake hata PM Majaliwa amewahi kugonga mwamba kwa hiki kisiki. Soma na hizi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora katika Taifa

    Utawala ni Hali inayoakisi sifa nyingi zilizopo kwenye Matabaka Makuu Mawili ambayo yanaunganishwa na Tabaka liitwalo Mifumo/Mfumo. Sifa kama Utii,Uzalendo,Ukarimu,Ubunifu,Kujitoa,Misimamo Madhubuti,Utu,Kujituma,Ushirikiano na kadhalika. Hizo ni baadhi tu za Sifa zilizopo kwenye Tabaka la...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania William Ruto aahidi utawala wake kutoingilia mawasiliano ya watu

    Ruto amewahakikishia wananchi kuwa atakapopewa Mamlaka kamili ya utawala, watu watakua huru kuwasiliana bila hofu ya kuingiliwa faragha zao na mamlaka. Akionekana kugusia ujasusi unaofanywa na mamlaka, Rais Mteule ameahidi kuirudisha nchi hiyo kwenye misingi ya Demokrasia na kwamba mtu yeyote...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Andiko la mabadiliko chanya katika jamii kwenye nyanja mbalimbali zikiwemo za elimu, uchumi, kilimo,utawala, afya, sayansi na teknolojia

    Mabadiliko chanya katika Elimu; Kumekuwa na fikra hasi katika jamii zetu kwenye swala la elimu vijana wengi fikra zao kwa sasa katika elimu zinatokana na ukosefu wa ajira ama ajira zisizotosheleza idadi ya watu waliopo, Hivyo basi vijana wengi wanaona hakuna umuhimu wa kupata elimu ikiwa ajira...
  12. JamiiForums Tanzania SoC02 Kigoda cha Uzalendo na Utawala Bora

    Mchezo wa kuhamisha Kigoda kumpatia mwenzako ni rahisi sana wengi wetu tuliucheza utotoni na tuliibuka washindi wa kukaa muda mrefu na kigoda bila ya kutetereka au kukosea na hii ilitupa ujasiri na kukuza ushupavu mbele ya watoto wenzetu. Je, Kigoda Cha uzalendo kwa mtu na mtu hivi sasa upo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala bora

    Utawala ni uongozi ambao unakuwa madarakani katika kipindi fulani, utawala huu unaweza kutokana na kuchaguliwa, kurithi kama ilivyo katika baadhi ya nchi kama Korea Kaskazini ama mapinduzi. utawala bora no utawala unaozingatia misingi ya haki, taratibu na kanuni kwa mujibu wa sheria ambazo nchi...
  14. JamiiForums Tanzania Huu Utawala, Hakuna kitu utafanikisha

    Hakuna hata project moja watakayoimaliza achilia mbali hata walizozikuta ambazo zilikwisha anza. Ukiondoa blah blah hakuna kitu ambacho kitafanyika, mpaka sasa hivi kila kitu ni failure, wameahidi kuwaongeza Wafanyakazi Mishahara 23% kwa mbwembwe nyingi na kejeli sijui walifikili Julai...
  15. JamiiForums Tanzania Ushiriki Huru wa Wananchi Katika Shughuli za Kisiasa Ndiyo Msingi Thabiti wa Utawala Bora

    Ushiriki wa umma katika masuala ya kisiasa na kidemokrasia hauishii kwenye kufahamu tu yanayoendelea, bali wanaoathiriwa na maamuzi wana haki ya kushirikishwa kisawasawa katika mchakato wa kufanya maamuzi hayo. Ushiriki huu ni sehemu muhimu ya utawala wa kidemokrasia. Lengo kuu la...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushirikishwaji wa Wananchi katika utekelezaji wa maamuzi ni nguzo ya Utawala Bora

    UTAWALA BORA huusisha ushirikishwaji wa wananchi wote walioko ndani ya jamii au nchi kiujumla juu ya utekelezaji wa maamuzi pendekezwa na viongozi Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi ndani ya jamii na taifa kwa ujumla kwa kuzingatia haki na usawa wa kila mwananchi aliye ndani ya jamii husika...
  17. J

    JamiiForums Tanzania SoC02 Utawala Bora ni Uzalendo sio matokeo ya Siasa wala Diplomasia

    Utawala bora tunaweza kusema ni namna ambavyo waliopewa dhamana wanaendendesha taasisi na shughuli za umma katika kusimamia rasilimali za umma, haki za binadamu kwa kuzinagatia sheria ambazo kama nchi imejiwekea likini siasa nikimnukuu moja kati ya platinum member wa jamii forum akimjibu swali...
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu ......napatikana Mbeya

    Natafuta sehemu ya kujitolea ni mhitimu 2022 , shahada ya kwanza ya utawala na rasilimali watu Tumaini university ......napatikana Mbeya
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Misingi ya Utawala Bora ni ipi? Tufanye nini ili tuwe na Utawala Bora?

    Habari zenu Wana JAMII FORUMS, Hususa ni jukwaa la "STORIES OF CHANGE" Nimatumaini yangu kuwa nyote ni wazima na mnaendelea na majukumu ya kila siku. Andiko hili litaangazia katika ngazi za utawala Hususa katika misingi ya utawala bora ni ipi?hali imekua tofauti kwa kipindi Hiki misingi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kutoa rushwa kwakuwa hakuna uwajibishwaji wa watoa na wapokea Rushwa?

    Rushwa, iwe ya kiwango kidogo au kikubwa, inakatiza na kuzuia utawala wa sheria kutekelezwa ipasavyo. Ni kikwazo kikubwa katika utawala bora kwani huathiri sekta ya umma na binafsi na kusababisha watu kushindwa kufikia maendeleo stahiki na huduma bora za kijamii. Vitendo vya Rushwa vina athari...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…