utawala

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia awahakikishia Umoja wa Ulaya kuwa na utawala wa kidemokrasia

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya(EU), Charles Michel ambapo amemsifu Rais Samia kwa hatua anazochukua kukabiliana na #COVID19. EU wamesema wako tayari kushirikiana na viwanda mbalimbali vinavyozalisha chanjo ya #COVID19 barani Afrika ikiwemo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli zinazotolewa dhidi ya Hayati Magufuli ni wazi kuna wenye wivu na aliyofanya kwa miaka 6 ya utawala wake

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri. Nimekuwa nikifuatilia kauli mbalimbali zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa dhidi ya hayati Magufuli. Ni wazi kabisa kuna chuki kubwa dhibi yake. Na ukichunguza kwa undani zaidi utaona wanataka kupandikiza hiyo chuki hata kwa wananchi wa kawaida. Ukweli ni kwamba...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Katiba Mpya ni Muhumu, itamjenga Rais na haitampunguzia chochote

  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Alama ya mwisho ya anguko la Utawala wa CCM, Tanzania

    Mwisho wa utawala wa chama cha siasa - CCM katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilikuwa iwe wakati wa u Rais wa Jakaya Mrisho Kikwete (2005 - 2010). Ukacheleweshwa kwa kitambo kidogo lakini maandalizi muhimu yakafanyika chini yake. Kwa ulaghai na kwa udanganyifu wa kidola ktk uchaguzi mkuu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais, kivutio kikuu cha Wawejezaji Duniani ni utawala unaotabirika kisiasa na kisheria

    Naomba kumshauri Rais kwamba kwa mtazamo wangu Ni vigumu kupata wawekezaji walio serious kuja kuwekeza nchini kwa sababu nchi yetu haina mfumo mzuri wa kisheria na kikatiba. Haki Tanzania inapatikana kwa utashi wa Rais na si kwa kuzingatia misingi ya kisheria. Ni kweli anaweza anaweza kuvutia...
  6. JamiiForums Tanzania John Munisi Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai, aliyepewa kesi ya ubakaji Hai afanya Misa ya Shukrani

    John Munisi ni miongoni mwa Wahanga wa kwanza kabisa wa utawala wa Marehemu John Magufuli kufanya misa ya shukrani kwa lengo la kumtukuza Mungu kwa ajili ya Matendo Makuu aliyomtendea. John Munisi ni Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai ambaye alitengenezewa kesi ya Ubakaji ya kumjaza mimba...
  7. JamiiForums Tanzania Utawala wa Biden watengeneza ajira kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa wastani kwa mwezi

    Uchumi umetengeneza ajira zaidi ndani ya miezi minne ya kwanza ya Utawala wa Biden kuliko utawala mwingine wowote katika historia - zaidi ya ajira 500,000 kwa mwezi kwa wastani. Hiyo sio kwa bahati - mpango wa uchumi wa Biden unafanya kazi. The economy has created more jobs under the Biden...
  8. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia tuupime kwa vigezo sawia

    Bila ya kuwa na chuki na mtu yeyote, ukweli ni kwamba Mama Samia ana bahati kubwa kwenye utawala wake. Bahati yake kubwa ni utawala uliomtangulia. Utawala uliomtangulia ulikuwa ni utawala wa chuma, ulikuwa ni utawala ulioumiza wengi. Hivyo, yeye akifanya jambo kidogo tu la kuwaletea nafuu wale...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Iran: Hatimae rais mpya apatikana

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji nchni Iran yanaonyesha kuwa Seyyed Ebrahim Raeisi amepata ushindi wa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Kiislamu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ushirikishwaji wa wananchi ni Msingi wa Utawala bora

    Ushirikiahwaji ni moja ya misingi ya Utawala bora hii ina maana kuwahusisha wananchi wa jinsia zote na makundi yote katika kupanga na kufanya maamuzi ya mambo yanayowahusu. Ushirikishwaji unaweza kuwa wa moja kwa moja au kupitia wawakilishi waliochaguliwa na wananchi. Mfano kuimarisha...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa ushiriki wa Wananchi kwenye kujenga utawala bora

    Ushiriki wa kila mtu, wanaume na wanawake katika maamuzi inapelekea Serikali kufanya kazi kwa matakwa ya wengi. Husaidia kujenga uhuru wa kuzungumza pamoja na ushiriki katika ujenzi wa Taifa. Wananchi wanatakiwa kushirikishwa katika maamuzi ya Serikali na kupewa taarifa za mwendelezo wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Uwazi ni Kanuni muhimu ya Utawala bora

    Wananchi kuhusishwa katika maamuzi ya Kiserikali husaidia kuwajengea uwezo wa kuchukua jukumu katika uundaji wa Sera nzuri na utekelezaji kwa maendeleo ya nchi.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Makinikia kusafirishwa nje ya nchi iliruhusiwa utawala wa Hayati Magufuli, Rais Samia analaumiwa bure

    Kumekuwa na mshtuko watu kusikia makinikia kusafirishwa nje ya nchi wakati msimamo wa awali ilikuwa kujengwe kinu hapa nchini na watu kumlaumu Samia kuwa kaharibu, lakini Magufuli ndio aliingia makubaliano mapya na Barrick na makubaliano hayo hayawalazimishi kuchenjua makinikia hapa nchini...
  15. JamiiForums Tanzania LHRC: Tunalaani utekwaji wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uzinduzi wa Umoja wa Kudai Katiba Mpya Tanzania (UKUKAMTA)

  16. JamiiForums Tanzania Najiuliza kama Spika aliapa kuilinda na kuitetea Katiba, kwanini anaivunja?

    WADAU Nawasalimu. Hakika Kati ya Vitu ambavyo Hayati BABA wa TAIFA alivisimamia na Kuvisemea Muda wote na Kwa Nguvu zake zote ni KATIBA ya NCHI. Hayati BABA Wa TAIFA alikuwa Anasisitiza VIONGOZI wote WALIOAPA Kuitii, Kuiheshimu na Kuitetea KATIBA. Katika UTAWALA wa AWAMU ya PILI kulikuwa na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi Kitabu cha Mwinyi: Sitawasahau Maalim Seif, Mrema na Mtikila katika utawala wangu

    Dar es Salaam. Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi ametaja baadhi ya viongozi wa vyama vya upinzani waliompa shida katika utawala wake akiwamo Katibu mkuu wa zamani wa CUF na baadaye mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad. Wengine ni Mwenyekiti wa TLP, Augustine...
  18. JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia umetia aibu kubwa sana,usipewe msamaha

    KITENDO cha kuahirishwa kwa pambano la Simba na Yanga lililokuwa lichezwe jana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, kumewafanya wadau wa soka kucharuka na kudai ni aibu kubwa kwa soka la Tanzania, kwa mechi kuahirishwa kienyeji kwa sababu za kisiasa, huku wengine wakisema kuna kitu nyuma ya...
  19. JamiiForums Tanzania Mauwaji ya Wakatoliki chini ya utawala wa Mfalme Henry VIII, Edward I na Elizabeth I

    Catholic persecution in the reigns of Henry VIII, Edward VI and Elizabeth I: By: Elenah Zwiegers Without doubt, the Tudor monarch most associated with religious persecution is Queen Mary I. Popularly bestowed upon Mary, is the epithet “Bloody Mary”, a reputation which I feel is unfair (as...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Uwajibikaji kama msingi wa Utawala Bora?

    Uwajibikaji ni hali ya kiongozi na mtendaji kuwa tayari kujibu, kubeba dhamana na kutoa maelezo kwa wananchi juu ya maamuzi au matendo aliyoyafanya katika kutekeleza dhamana aliyopewa. JE, KATIBA INASEMAJE? Kwa mujibu wa Ibara ya 8 (1) (c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…