utawalabora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    SoC03 Ubora wa elimu huchagizwa na huchagizwa na uongozi bora

    Elimu inahitaji kuzingatia utofauti na usawa. Uongozi bora unahitaji kuheshimu na kuthamini tofauti za kitamaduni, kijinsia, na kiuchumi. Shule na vyuo vinapaswa kujenga mazingira ya kujifunza yenye usawa, kuhakikisha upatikanaji sawa wa elimu kwa wote, na kutoa fursa sawa za uongozi. Pia, elimu...
  2. M

    SoC03 Mtu mmoja anayeweza kugeuza mchana ukawa usiku

    Nchi yenye watu takribani milioni 70. inategemea maamuzi ya mtu mmoja. Ambaye kakalia kiti Cha utawala. pamoja na kuwa na jopo la washauri lililosheheni wasomi wenye shahada kubwa. Lakini Saini yake kwenye makaratasi ya mikataba ya wawekezaji kutoka nchi kubwa zenye nguvu Duniani ndio inayoweza...
Back
Top Bottom