Wadau hamjamboni nyote?
Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
Habari zenu mimi nikijana wa kitanzania umri wangu 35 sio mlefu wala sio mfupi sio mnene wala sio mwembamba dini yangu ni Muslim naish Dar ni mfanya biashara naitaji mwanamke awe Muslim miaka 20 hadi 34 mwenye hofu ya mungu na utayar kuwa mke na awe na mwonekano mzur (shape). Rangi, kabira...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, Machi 14, 2024 ameshiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ya utayari dhidi ya dharura za kemikali na mionzi, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Sambamba na Ufungaji...
Habari wakuu,
Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume.
Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na...
Habari ya muda huu popote pale ulipo wana jamvi.
Kama ulipo haijadondoka tarehe 25/12/2023 basi endelea kuvuta subira itafika tuu punde si punde.
Ni sikukuu leo ya kuadhimisha kukumbuka kuzaliwa kwa Kiongozi wa waumini wa dini ya Kikristo.
Heri ya Sikukuu na Maandalizi ya Mwaka Mpya 2024...
Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo.
Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini!
Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa na kipekee sana wahafidhina ndani ya Serikali na chama Tawala ambao wanajaribu kukwamisha au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.