utayari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    Kesho Jumatatu Iran itafanya mazoezi makubwa sana ya kijeshi na Urusi na China ikiwa ni maandalizi ya utayari

    Wadau hamjamboni nyote? Joint naval drills organized annually between Iran, Russia and China will start tomorrow in the southeastern Iranian port of Chabahar, Iran’s Tasnim news agency reports.
  2. Binti wa kiislamu mwenye utayari wa kuwa mke

    Habari zenu mimi nikijana wa kitanzania umri wangu 35 sio mlefu wala sio mfupi sio mnene wala sio mwembamba dini yangu ni Muslim naish Dar ni mfanya biashara naitaji mwanamke awe Muslim miaka 20 hadi 34 mwenye hofu ya mungu na utayar kuwa mke na awe na mwonekano mzur (shape). Rangi, kabira...
  3. Dkt. Tax ashiriki Hafla ya Kufunga Mafunzo ya Utayari Dhidi ya Dharura za Kemikali na Mionzi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax, Machi 14, 2024 ameshiriki katika hafla ya kufunga mafunzo ya utayari dhidi ya dharura za kemikali na mionzi, ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa. Sambamba na Ufungaji...
  4. Dunia ya zama za nipe nikupe, wanawake kama huna utayari wa kutoa usitegemee kupokea

    Habari wakuu, Dunia inaenda kasi sana tupo kwenye zama za nipe nikupe, mwanamke unataka hela ya mwanaume(kuhudumiwa) basi uwe tayari kutoa atakachotaka mwanaume. Sio kutaka kuhudumiwa alafu mwanaume akihitaji tunda zinaanza sababu "ooh bado ni mapema sana kufanya hivyo". Mbona hela na...
  5. Moyo wa Shukrani na Utayari...😇

    Habari ya muda huu popote pale ulipo wana jamvi. Kama ulipo haijadondoka tarehe 25/12/2023 basi endelea kuvuta subira itafika tuu punde si punde. Ni sikukuu leo ya kuadhimisha kukumbuka kuzaliwa kwa Kiongozi wa waumini wa dini ya Kikristo. Heri ya Sikukuu na Maandalizi ya Mwaka Mpya 2024...
  6. Nilijua ajali ya ndege imetupa funzo la kuwekeza kwenye utayari wa kupambana na majanga

    Huko Hanang sioni vifaa vya kisasa vya kuokolea kama helkopta zenye crane zaidi ya kuona mawaziri wakiwa na fimbo za magongo. Chama tawala kinanunua mashangingi na kuyatawanya kwa Makatibu wake kwenye wilaya zaidi ya mia ishirini! Mawaziri wananunuliwa V8 kila mwaka, V8 mpya Tsh. Mil. 500...
  7. Serikali inafahamu kuwa kwa kuwapatia watu wake passport kunaweza kuwahamasisha kutafuta fursa nchi zingine?

    Mwanzoni mwa mwaka huu, nilienda Mutukula kufanya manunuzi ya vitu fulani. Niliamua kuvifuata huko kwa sababu niliamini bei ni nafuu zaidi kuliko nilikokuwa. Kuna wafanyabiashara wanaofuata mizigo yao huko. Ikiwa wao wanafuata huko na kuja kutuuzia tuliko, nilijua, kwa vyo vyote, bei ingekuwa ni...
  8. Rais Samia ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala Tanzania

    Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa na kipekee sana wahafidhina ndani ya Serikali na chama Tawala ambao wanajaribu kukwamisha au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…